Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,554
Inaeleweka wazi kwamba watanzania tu waoga na wazito sana kureact katika mambo mengi, ijapokuwa hari imekuwa tofauti kidogo katika hili la pesa ya wahanga wa tetemeko. Limewapa mtihani mgumu kweli kweli, na naweza kusema limewajeruhi sana.
Yawezekana ni kipimo cha madhara ya tetemeko lenyewe, sijuhi. Yawezekana ni aina ya maisha wanayoishi waathirika baada ya janga lile, sielewi. Yawezekana ni maumivu baada ya pesa walizozichanga kwa ajiri ya ndugu zao kusikia zimepigwa STOP na Ikulu zisiende tena kusaidia walengwa, bado sifahamu vizuri lakini kila mja ana lake lililomsumbua katika hili, kusema kweli watanzania na hata wasio watanzania wanalaani na kuchukia sana.
Naomba nimalizie kwa swali moja tu.
Hivi ikitokea Kagera ikarudiwa na tetemeko tena hata kesho tu japo siombei, ama likatokea janga kubwa la hivi kokote kwingineko serikali itarudi kwa wananchi kuomba wasadie? na itaanzaje kulisema hili kwa watanzania?