Iitwe CHADEMA Education Television


Tatizo ni running costs, maana vyombo vingine vinategemea saana mteja mkubwa "Serikali" ili vijiendeshe economically (matangazo mbali mbali), sasa hivi vya CDM vitategemea michango au? kuanzisha is one thing and ku-sustain is another, labda Sabodo awe mlezi wake. lakini wacha vianze they will cross the bridge when they reach there!
 

This will be poa the name should not reflect the certain class of civilian.
 
Gud idea sisi walalahoi tuko tayari kuchangia vijisenti vyetu mpaka CCM ikome na iachie ngazi ndipo tutalala!
 
Kupatiwa leseni tu itakuwa ni mtihani mzito ati
 
Kupatiwa leseni tu itakuwa ni mtihani mzito ati

Kama wanachadema tutakuwa bega kwa bega na viongozi wetu hakuna kitakachoshindikana. Kuna uwezekano wakatingisha kiberiti kujaribu kufanya hivyo lakini nguvu ya umma ikisimama mambo yote yanawezekana. Wanachadema tuwe postive.
 
Natumaini CHADEMA itayafanyia kazi mawazo yote yaliyotolewa hapa na kisha kuwafahamisha Watanzania nini kilichoamuliwa na kukubaliwa..
 
Waulizeni CUF wana miaka zaidi ya sita wameomba kibali cha kuanzisha radio na bado hawajapata. Wanapigwa danadana kila siku na TCRA.
 
Waulizeni CUF wana miaka zaidi ya sita wameomba kibali cha kuanzisha radio na bado hawajapata. Wanapigwa danadana kila siku na TCRA.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya CDM na cuf. tukichukua tu tofauti ya wanachama ni kuwa wanachadema wakna upeo mkubwa sana wa kujenga hoja, cuf hawawezi kuingi hata kwa milimita. So kwa CDM nina uhakika itawezekana.
 
I hope this a serious issue, i will be of graet help for CHADEMA, because that it what has been lacking.. Peoples power/Nguvu ya umma
 

Yes,hili ni wazo msumari!Naliunga mkono.

Hiyo TV na Radio vianzishwe haraka sana ili kuepukana na hizi HABARI ZA KUPIKA NA KUCHAKACHUA kama walivofanya Polisi juzi baada ya mauaji ya Arusha.
Nakubaliana na mdau aliyesema vyombo vote visiwe na jina la Chama kuondoa zana ya ubaguzi,upendeleo,etc.
Call it any name in relation to Peoples' Power,Freedom Radio/TV, Demokrasia na vitu kama hivyo.
 
Nimeipenda hiyo RED lol!
 
Kwa wakati kama huu ambapo kitu cha msingi kuliko vyote ni watu kujua haki zao za msingi kwanza - basi CDM watakuwa wanafanya jambo la msingi sana.Na kwasababu itawasilisha programu za chama kwa wanachama wake na kukisaidia chama kukuza chachu ya ukuaji wa chama hadi ngazi ya chini.Ni wazo zuri na hasa ukizingatia kwamba - upo ukwasi mkubwa katika kutangaza habari muhimu za vyama staili ya CDM.Kama huo ndio mwondoko basi sina budi kupongeza uongozi mzima wa Chadema.Peoples Power
 
TCRA hawana huo ubavu wa kutotoa kibali cha kuanzisha TV na Redio kwa CHADEMA.
Mawazo yote yako okey!ila kwa mtazamo wangu naona vyombo vyetu hivyo vya habari tuite hivi;brave television na redio iitwe brave redio.hii ni kutokana na misimamo tuliyonayo sisi tusio ogopa SIMBA wala CHUI kwenye pori.
wanajf tupo tayayali hata kuchangia.
 
Waulizeni CUF wana miaka zaidi ya sita wameomba kibali cha kuanzisha radio na bado hawajapata. Wanapigwa danadana kila siku na TCRA.

WEE VIPI?HISTORIA imepita wapi kila jambo hubadilika hapa dunia,tazama Tunisia watu wanadai haki zao leo ni miaka mingapi imepita?Sudani kusini na kaskazini je?CCM KUSHINDA kwa KISHINDO je uchaguzi uliopita wameweza kushinda kwa kishindo?
LAKININI pia CUF sio CHADEMA,upo apoooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bora kama ni kuipa jina sio la Chama,kwani yapo majina mengi tu ,mnaweza kuiita Mwiba :clap2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…