That is one of the oldest IT Training CENTRES IN TZ and The Best ( TOP 5 ) Others are LearnIT , Aptech , NewHorizon , UCC , Naweza kuongea na wewe na kukushauri zaidi mpaka nikijua unataka nini - Nilisomaga hapo mwaka 1998 Nikiwa Sekondary kwa miezi 2
Hongera ila hapo Rwanda kuna opportunities nyingi zaidi ya Kule Tanzania haswa za kufanyia kazi kama unataka wepesi zaidi wa kujifunza na kusoma Nairobi ni nzuri zaidi ya Nchi zote za Afrika mashariki ikifuatiwa Kidogo na Uganda -
KIST gharama zao zipo juu sn ukilinganisha na hapa bongo; labda material delivery. Ila naskia LearnIT na Aptech wapo bomba zaidi ukilinganisha na hao IIT
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.