donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hiyo ngano ya muda mrefu sana tangu nikiwa mtoto hadi sasa nina wajukuu.
Ila we jamaa ni bonge la litoto vilezile chupa za kijani zilikushinda eh?
shemeji ndo kapika?Mi Nipo hom mzee baba nakula vitu na shemeji yako hapa View attachment 1338351
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha basi!
Hii inafanana na picha ya hazard aiseeMi Nipo hom mzee baba nakula vitu na shemeji yako hapa View attachment 1338351
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu siyo mtu mzuri. Watu wamerudi nyumbani.zile chupa za kijani zilikushinda eh?
Toka lini ushauri wa daktari unafuatwa ?Kitaalam inashauriwa kuanza kula kwanza na kupumzika kwa dakika 30. Baada ya dakika 30 chakula kitakuwa tayari kimeshameng'enywa tumbo, muda huu ndiyo unashauriwa kuanza kushusha vyombo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magu siyo mtu mzuri. Watu wamerudi nyumbani.