Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,234
- 20,568
Embu ntumie picha yake nimuone alivo sasa?
Alikuwa nani?
Embu ntumie picha yake nimuone alivo sasa?
nyama imeng'enywe kwa dk thelathini???? at least masaa matatu tena hyo itategemea iliiva kwa kiwango gani.Kitaalam inashauriwa kuanza kula kwanza na kupumzika kwa dakika 30. Baada ya dakika 30 chakula kitakuwa tayari kimeshameng'enywa tumbo, muda huu ndiyo unashauriwa kuanza kushusha vyombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii yako ni Sayansi ya digestion, hii nyengine ni Sayansi ya Empty Stomach irritated with Alcoholnyama imeng'enywe kwa dk thelathini???? at least masaa matatu tena hyo itategemea iliiva kwa kiwango gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine waambie wakuchemshie kwanza kabla ya kuikaanga!...otherwise nimeuelewa msosi huu wa wanaume!
Umejuaje kama haijachemshwa?Siku nyingine waambie wakuchemshie kwanza kabla ya kuikaanga!...otherwise nimeuelewa msosi huu wa wanaume!
Usiulize maswali ya kijinga!Umejuaje kama haijachemshwa?
Haaaaa 😂 kiti moto lazima ichemshwe kwanza kabla ya kurostUsiulize maswali ya kijinga!