Iheshimu sehemu yako ya kazi

Iheshimu sehemu yako ya kazi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,586
Reaction score
66,282
Kuna watu tuna idharau sana sehemu tunazo fanyia kazi

Sehemu unayo fanyia kazi watu hawataki kujua maisha yako kabisa punguza story nyingi na watu kuna baadhi akifa kazini ana anza kuhadithia yaliyo tokea jana kwake yaan ana kusanya watu na kuhadhia hii mbaya sana

Epuka madeni una weza ika ofisi yako hawawapi chakula kuna cafeteria pembeni lakini uko nako una kopa kiasi kwamba mpaka ulipe waje kwa boss wako washtaki na kwa kufanya hivi una jishushia heshima epuka madeni hatukatai kukopa ila lipa madeni

Sehemu yako ya kazi isiwe sehemu ya kutatulia matatizo ya familia yako ume zalisha uko au una familia mke ana kuja ofisin kwa boss wako kukulalamikia hii sio sawa kabisa jitahidi kumaliza shida zako za familia nyumbani hii ina kushushia heshima sana na uaminifu una pungua

Acha kujieleza eleza shida zako kwa boss wako jua mipaka yako kabisa ikiwezekana acha mazoea na boss hatakiwi kukujua njee ya kazi usitengeneze urafiki na boss siku ukiisha utakataliwa vibaya sana aibuu

Yangu ni hayo wakuu ongezeeni mengine
 
Naunga mkono hoja

big brother yes GIF by Global TV.gif
 
Hii haikusu basi lakina ata kama epuka madeni katika eneo lako la kazi
Kaka madeni lazima yawepo ikiwa DEPENDENCY LEVEL IKIWA GREATER THAN SAVING..

Madeni ndio ukomavu kaka ila yasizidii sanaa... Mfano Kuna watu vipato vyao vinakutana..

Kaka madeni hapa nilipo Nina liability kibao Jana nimejikopesha pesa natakiwa irudi na deals zimebuma.
 
Back
Top Bottom