Igunga: Kivumbi cha kampeni kuanza leo

Igunga: Kivumbi cha kampeni kuanza leo

Igunga mkuje na mabadiliko kama ya Misri na Libya..Saa ya ukombozi ni sasa..Sisi tulio nje ya Igunga tunaomba wafuasi wetu wa mageuzi ya kweli tupeane mpya zinazojiri maana hapa ndipo makutano au maskani ya kweli..Peoples Powerrrrr...
 
Mliokuwa mnamtetea Mtatiro huku jamvini mmeanza sasa kuona alichomaanisha aliposema atahakikisha chadema inakuwa ya 3 nyuma ya ccm na cuf.Kwa nini cuf ianze kuifanyia fujo chadema kama hawatekelezi mpango maalum wa siri kati ya mtatiro na nape?

Kweli kafu ni wachokozi. Wamejua watashindwa kwahiyo wameamua kufa na cdm!. Ndio maana wanasema liwalo na liwe!<br />
Na cdm wamedhiirisha kuwa ni chama makini kwa kuwa watulivu na tolerance kubwa kuepusha vurugu. Bravo cdm. Wao wana hela, sisi tuna Mungu!

CUF msitake kutuharibia uchaguzi!!!kuingilia msafara wa chama kingine na kupita katikati yao ni hatari kubwa!!lengo la CUF walilenga kujenga mazingira ya kuonyesha CHADEMA NDO WAANZILISHI,walipoona watu wameujua mchezo sasa wanasema lugha laini eti kuingilia msafara ni jambo la kawaida

Inaitwa operation 'lolote na liwe' sijui nani alibuni jina la operation au mzee wa propaganda Tambwe bado anatowa msaada CUF kama consultant!
 
Mliokuwa mnamtetea Mtatiro huku jamvini mmeanza sasa kuona alichomaanisha aliposema atahakikisha chadema inakuwa ya 3 nyuma ya ccm na cuf.Kwa nini cuf ianze kuifanyia fujo chadema kama hawatekelezi mpango maalum wa siri kati ya mtatiro na nape?

Ndio maana juzi walikuwa na kikao na Nepi, walipoona kuwa kamanda wa CDM yuko pale wakafyata mikia
 
Gari la CUF lilipoingilia msafara wa Chadema na kiziba njia jana.


Ghafla wanachama wa CUF wakaingilia kati msafara huo na kusababisha fujo
 

WAKATI KAULI MBIU YA NDUGU ZETU CUF KUMBE LAO LIMEKUA
NI
'LOLOTE LIWALO NA LIWE' HUKU CCM WAO HELA ZA KEMPINSKI ZIKIWA ZIMEWANATISHA UJANJA WOWOTE, CHADEMA LETU LIWE TU NI 'UKOMBOZI IGUNGA NA MAZIKO RASMI
YA UFISADI NCHINI BILA FUJO INAWEZEKANA!!!!!!!!!!!'


Kwa kuanza kutoa maoni yangu juu ya matukio sikitiko Igunga kwanza nianze kwa kusema HESHIMA mbeeeeeeeeeellle kama tai kwako wewe Dokta wa ukweli, Majenerali na makamanda wako wote, BAVICHA, Ndugu Tumbo na kazi nzuri unayoendelea kutufanyia hapo kijijini kwetu.

Ndio, nnasema hesma mbeeeeeeeele sana kwa Wana-Igunga wote pamoja na WSOMI WOTE WA VYUO NA VYO VIKUU ambao ni watoto wa Igunga kwa kuzaliwa, kuishi na kufahamu fika matatizo ya kimaendeleo yaliokithiri pale kote huko na watu kubaguliwa kwenye kutoa haki.

Nasema hapa nilipo nikiwa njiani kuelekea Tabora tayari nimevua kofia yangu ikiwa ni ishara ya heshma kwenu kwa utayari wao kuangusha huu Mbuyu wa UFISADI nchini CCM.

Yote juu ya yote, kwa kweli nimesikitishwa saaaaaaaaaaaana na ujumbe nilioudadavua kwenye hiyo picha hapo chini. Laiti kama ningalisikia kwamba ni Maalim Seif ndio aliongoza wafanya fujo kukifanyia CHADEMA kitendo kama hicho hapo juu wala mtu asingenisikia nikilaumu kitu maana miaka yote ndio siri ya mafanikio yake kwenye siasa.

Kama huamini ninachosema kwa huyu Makamu wa Rais wa pili Zanzibar basi ukae ukijua ya kwamba hata hivi sasa AKULA MAZIWA NA ASALI kwenye nafasi hiyo kwa hisani ya MUAFAKA baada ya fujo za miaka nenda rudi Unguja ndio Mzee Makamba wakaonelea kwamba ni vema wakamdake na kuanza KUMFUGA kama mnyama wa nyumbani jinsi ilivyo hivi sasa.

Nasema BILA MAALIM SEIF ndani ya chama hicho CUF kweli kinaweza kuwa tu ni chama cha wananchi ukiwa na vichwa vingine kama Prof Lipumba, Mtatiro na Jasu lakini si vinginevyo. Wakati Rostam Aziz ni sura kamili ya UFISADI nchini, Maalim Seif yeye ni sura ya FUJO iliokomaa visiwani kwa MASLAHI BINAFSI ya kula kuku kwenye mrija kama hivi sasa.

Pengine mtu atahoji fujo kwa Kamanda Lema je; jibu ni kwamba yeye kamanda wa ukweli anapigania MASLAHI MAPANA WA MACHALIII wote Bara na Visiwani bila harufu zozote z udini wala Upemba.

ama huo ndio ukweli wa mambo basi mtu huhitaji akili nyingi saaaaana kuweza kung'amua KILICHOJIFICHA NYUMA YA KITENDO HICHO CHA AJABU cha wenzetu CUF kutafuta kwa makusudi tu tukafanyiane vurugu.

Prof Baregu, Dr Mkumbo, Mhe Marando, Tundu Lissu, Mnyika John, Kamanda Lema, kila mwanaharakati dhidi ya UFISADI nchini pamoja na wataalam wetu wengine kibao hapo Igunga, chonde fanyeni ka pevu kung'oa kabisa katika siasa za nchi yetu huyo Mhajemi Rostam Aziz na mizizi yake yote maana sura ya Aziz ndio sura halisi ya ufisadi nchini kote.

Kwa upande mwingine, uongozi wetu ndani ya BAVICHA kazi yenu kubwa Igunga ni kueliisha wapiga kura Igunga, chumba hadi chumba juu ya matumaini mapya na umuhimu wa wao kupata kiongozi wa kujichagulia wenyewe bila ghiliba, rushwa wa uchakachuaji wa miaka yote CCM.

Peoples Pawa, Wana-Igunga kanya twende mpaka kura zote kuhesabiwa kweupe mbele ya wapiga kura wote bila Mazingaombwe ya Jaji Makame tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Gari la CUF lilipoingilia msafara wa Chadema na kiziba njia jana.


Ghafla wanachama wa CUF wakaingilia kati msafara huo na kusa???????????
 
Back
Top Bottom