PostGE2025 IGP Wambura: Siasa, dini visitugawe Watanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa 'somo' Watanzania, akiwataka wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali.

1763732873594.png
Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama.

Wambura, ameeleza hayo leo Novemba 21,2025 katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro, alipokwenda kufunga mafunzo ya awali ya Polisi, kozi namba 01 ya mwaka 2024/2025.

Askari wapya 4,826 wakiwamo wanaume 3,436 na wanawake 1,390, wamehitimu mafunzo hayo.

“Tusikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Tuendelee kutunza tunu yetu ya usalama na amani ya nchi yetu iliyodumu takribani kwa miongo mingi sasa.Tushirikiane popote kuhakikisha tunakuwa salama.

Aidha, Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amewaonya askari wapya akisema: “Kamwe msijemkajiingiza katika utendaji wa kimazoea usiozingatia sheria kanuni na taratibu, mkaendeleze tabia ya kujifunza zaidi maishani mwenu, ili mjijengee weledi na uwezo wa kiutendaji kulingana na mahitaji ya sayansi na teknolojia.

Chanzo: Nipashe
 
Kwamba tuendelee kutekwa?
 
Ngoja ninyamaze maana nitasema vibaya
 
Watawala wanatakiwa kujua watanzania wanashida na kitu kimoja tu "HAKI"
 
Tusikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Tuendelee kutunza tunu yetu ya usalama na amani ya nchi yetu iliyodumu takribani kwa miongo mingi sasa.Tushirikiane popote kuhakikisha tunakuwa salama.
Amani amani amani amani ndio wimbo
wao wa taifa haya majinga.
 
Huyu ndio akae kimya kabisa, ale tu mapesa yake mpaka atakapofikiwa na karma...
 
Askari Polisi hawa ambao wanafanya mauaji ya wazi wazi na kutesa wananchi kwa namna ya kikatili kabisa, leo unawaambia wananchi washirikiane nao ? Hawa watu wanajitoa sana akili
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa 'somo' Watanzania, akiwataka wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali.

Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama.

Wambura, ameeleza hayo leo Novemba 21,2025 katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro, alipokwenda kufunga mafunzo ya awali ya Polisi, kozi namba 01 ya mwaka 2024/2025.

Askari wapya 4,826 wakiwamo wanaume 3,436 na wanawake 1,390, wamehitimu mafunzo hayo.

“Tusikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Tuendelee kutunza tunu yetu ya usalama na amani ya nchi yetu iliyodumu takribani kwa miongo mingi sasa.Tushirikiane popote kuhakikisha tunakuwa salama.

Aidha, Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amewaonya askari wapya akisema: “Kamwe msijemkajiingiza katika utendaji wa kimazoea usiozingatia sheria kanuni na taratibu, mkaendeleze tabia ya kujifunza zaidi maishani mwenu, ili mjijengee weledi na uwezo wa kiutendaji kulingana na mahitaji ya sayansi na teknolojia.
Too late a hero!!
 
Back
Top Bottom