PostGE2025 IGP Wambura: Siasa, dini visitugawe Watanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mpumbavu kweli, yete anauwa wananchi kuwalinda ccm, halafu anasema siasa zisitugawe?

Hayo mambo ya kijinga tukutane tena D9.
 
Kwaiyo polisi si amrudi na siraha nyumbani sio? Wakati mna tuua mlizani mnaishi tofauti na tunapo ishi sisi sio ? Hamieni kotazi D9 ni zamu yenu
 
View: https://www.facebook.com/watch/?v=2558895077819811&vanity=SenElissaSlotkin&http_ref=eyJ0cyI6MTc2MzczMzEyNjAwMCwiciI6Imh0dHBzOlwvXC93d3cuZ29vZ2xlLmNvbVwvIn0%3D

Tuna safari ndefu kuwafikia wazungu, embu tazama wenzetu. Viongozi ambao wameshafanya kazi katika vyombo vya ulinzi wanatoka hadharani kabisa na kutaka taasisi zao kukataa amri za Trump zilizo kinyume na katiba yao.

Wetu sisi asubuhi wanaongea porojo, usiku wanakuwa wauaji. Jeshi la polisi halina trust ya wananchi kwa sasa, udhani hawa watu wanaelewa maana yake nini vyombo vya ulinzi kupoteza imani kwa raia.
 
Huyu Wambura ameua mpaka wakurya wenzake huku Tarime

Vijana wengi wasio na hatia wameuwawa kinyama.
 
Sheria kanuni na taratibu?🤔🤔🤔.
Kumbe kuteka watu ni sheria
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa 'somo' Watanzania, akiwataka wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali.

Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama.

Wambura, ameeleza hayo leo Novemba 21,2025 katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro, alipokwenda kufunga mafunzo ya awali ya Polisi, kozi namba 01 ya mwaka 2024/2025.

Askari wapya 4,826 wakiwamo wanaume 3,436 na wanawake 1,390, wamehitimu mafunzo hayo.

“Tusikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Tuendelee kutunza tunu yetu ya usalama na amani ya nchi yetu iliyodumu takribani kwa miongo mingi sasa.Tushirikiane popote kuhakikisha tunakuwa salama.

Aidha, Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amewaonya askari wapya akisema: “Kamwe msijemkajiingiza katika utendaji wa kimazoea usiozingatia sheria kanuni na taratibu, mkaendeleze tabia ya kujifunza zaidi maishani mwenu, ili mjijengee weledi na uwezo wa kiutendaji kulingana na mahitaji ya sayansi na teknolojia.

Chanzo: Nipashe
Anaongea upumbavu! Waliowamiminia risasi ilikuwa sababu ya nini? Anataka watu wasihoji raslimali ili waendelee kutafuna?
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa 'somo' Watanzania, akiwataka wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali.

Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama.

Wambura, ameeleza hayo leo Novemba 21,2025 katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro, alipokwenda kufunga mafunzo ya awali ya Polisi, kozi namba 01 ya mwaka 2024/2025.

Askari wapya 4,826 wakiwamo wanaume 3,436 na wanawake 1,390, wamehitimu mafunzo hayo.

“Tusikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Tuendelee kutunza tunu yetu ya usalama na amani ya nchi yetu iliyodumu takribani kwa miongo mingi sasa.Tushirikiane popote kuhakikisha tunakuwa salama.

Aidha, Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amewaonya askari wapya akisema: “Kamwe msijemkajiingiza katika utendaji wa kimazoea usiozingatia sheria kanuni na taratibu, mkaendeleze tabia ya kujifunza zaidi maishani mwenu, ili mjijengee weledi na uwezo wa kiutendaji kulingana na mahitaji ya sayansi na teknolojia.

Chanzo: Nipashe
Faki the mazafaka!
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa amewahasa Watanzania, wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali.
Camillus-Wambura-2-1080x675.jpg

Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama.

Wambura, ameeleza hayo leo Novemba 21,2025 katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro, alipokwenda kufunga mafunzo ya awali ya Polisi, kozi namba 01 ya mwaka 2024/2025.

Askari wapya 4,826 wakiwamo wanaume 3,436 na wanawake 1,390, wamehitimu mafunzo hayo.

“Tusikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Tuendelee kutunza tunu yetu ya usalama na amani ya nchi yetu iliyodumu takribani kwa miongo mingi sasa.Tushirikiane popote kuhakikisha tunakuwa salama.

Aidha, Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amewatahadharisha askari wapya akisema: “Kamwe msije mkajiingiza katika utendaji wa kimazoea usiozingatia sheria kanuni na taratibu, mkaendeleze tabia ya kujifunza zaidi maishani mwenu, ili mjijengee weledi na uwezo wa kiutendaji kulingana na mahitaji ya sayansi na teknolojia.

Credit: Nipashe Digital
 
BILIONEA Camilius Wambura, huyu kwenye akaunti yake ya crdb alikutwa ana bilioni Moja.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa amewahasa Watanzania, wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali.

Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama.

Wambura, ameeleza hayo leo Novemba 21,2025 katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro, alipokwenda kufunga mafunzo ya awali ya Polisi, kozi namba 01 ya mwaka 2024/2025.

Askari wapya 4,826 wakiwamo wanaume 3,436 na wanawake 1,390, wamehitimu mafunzo hayo.

“Tusikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Tuendelee kutunza tunu yetu ya usalama na amani ya nchi yetu iliyodumu takribani kwa miongo mingi sasa.Tushirikiane popote kuhakikisha tunakuwa salama.

Aidha, Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amewatahadharisha askari wapya akisema: “Kamwe msije mkajiingiza katika utendaji wa kimazoea usiozingatia sheria kanuni na taratibu, mkaendeleze tabia ya kujifunza zaidi maishani mwenu, ili mjijengee weledi na uwezo wa kiutendaji kulingana na mahitaji ya sayansi na teknolojia.

Credit: Nipashe Digital
Sasa mbona mmetugawa na waenzetu kwa kuwauwa kama magugu?Ama mimi ndiyo sijaelewa?
 
Bilionea IGP Wambura !

Police force killing its own people for interest of illegitimate president. Useless

Big thanks to CNN for exposing them
 
Back
Top Bottom