Kumbe huwa unaangalia TBC1?? Si huwa huipendi? Imekuwaje tena?IGP Sirro yupo Live TBC lakini ninachoshangaa mtangazaji Mbozi Katala, haulizi maswali muhimu ya wakati huu, je uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu na lile la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu nchini, Mo, yamefikia wapi
Kama kawaida TBC ni sawasawa na chombo cha CCM kwa hiyo wanatekeleza majukumu yao kwa maekekezo toka juu!
Swali la mtangazaji:IGP Sirro inajulikana nje ya majukumu ya kikazi mh. Rais anapenda kupiga ngoma,waziri wako Kangi anapenda mziki,je wewe ukiwa nje kazi yako hua unapenda kufanya nini?
IGP Sirro:Ujanani nilikua na michezo mingi lkn kwa sasa napenda kusikiliza nyimbo za dini mfano za Shusho.
Mtangazaji:Hebu mh. Sirro tunaomba utuimbie kidogo nyimbo mojawapo uipendayo.
IGP Sirro:Kwa kweli kuimba nikiwa nimevaa gwanda itashangaza kidogo na ni kinyume cha maadili ya Jeshi letu.
Hayo ndio maswali ya waandishi wa TBC mojawapo ni hilo wakimuomba IGP aimbe,hahah
Hata yeye atakua amewadharau hao watangazaji.
Unataka apoteze kibaruaIGP Simon Sirro yupo Live TBC lakini ninachoshangaa mtangazaji Mbozi Katala, haulizi maswali muhimu ya wakati huu, je uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu na lile la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu nchini, Mo, yamefikia wapi??
Kama kawaida TBC ni sawasawa na chombo cha CCM kwa hiyo wanatekeleza majukumu yao kwa maekekezo toka juu!
maswali yametoka juu yameshuka na mvua