IGP Sirro: Namshukuru sana ASAS kwa kutujengea ghala la kuhifadhia silaha mimi ni mwenzenu nimesoma Tosamaganga High school!

Ama kweli hakuna tajiri anayependa mtu wa chini anyanyuke akue kiuchumi, badala ya kuwezesha vijana nyie mnasaidia serekali? Ukitaka kujua ukweli nenda ulizia vibarua au wafanyakazi ASAS wanalipwaje utatamani hata kulia
 
Mimi mhenga kiasi flani.
Septmber 11 (9/11) inatokea mwalimu wangu wa inorganic chemistry advance mmarekani Jack Ashcroft anakuja kutupigia experiment ya kutengeneza voltaic cell huku ana majonzi.

Mwalimu Dale Larson anatupiga hesabu za Calculas kwenye basket ball court.
Ni Pearce corps product hao. Huku wakiungana na waingereza kama Miss Alisson Becker volunteer wa kiingerza kabinti kadogo kama wanafunzi wake.
Unamjua Hezron Mkunja?
 
Ama kweli hakuna tajiri anayependa mtu wa chini anyanyuke akue kiuchumi, badala ya kuwezesha vijana nyie mnasaidia serekali? Ukitaka kujua ukweli nenda ulizia vibarua au wafanyakazi ASAS wanalipwaje utatamani hata kulia
Usimfananishe ASAS na Mo wa Simba
 
Kumbe Sirro Tosa boy mwenzetu?!!
Aisee lile skonga limetutoa wajuba wengi sana.
Tosamaganga sekondari ilikuwa shule ya kuandaa viongozi

Wengi waliopita pale viongozi sekta muhimu kuna shule ukienda unatakiwa uwe.serious unaandaliwa safari ya mbele
 
Huyu Singasinga naye tulikuwa naye Iringa jirani na akina Pindi Chana
Huyo jamaa huwa nashindwa kumkumbuka vizuri,ni mtoto wa wale jamaa wa Ruaha congress ambaye baba yao alifariki na ajali ya gari?maana mimi namkumbuka ndugu yao mmoja alikuwa anaitwa dharmeshi,amesoma mapinduzi akaishia darasa la sita akalushwa kwenda kuanza form one,akasoma mpaka form two,akalushwa tena form four alikuwa bright sana
Pindi chana alikuwa powa sana,alikuwaga hana maringo na alikuwa na tabia nzuri tofauti na happy,unamkumbuka sohar na Baw?
 
The whole army at his pocket.

Will they dare to arrest him when breaking the law? naah.

They will be in tight situation to incriminate him when necessary.

They should refuse this kind of help. Because the top man has no brain, here comes the shame.
 
Mbwa kama nyie msio na msaada kwenue nchi mnabweka sana
Akili ndogo tu. Unajua huko Mufindi kuna jamaa aliona isiwe tabu kusubiri umeme usio na uhakika utafika lini wa tanesco kwenye kijiji chake, akaamua kutumia ubunifu wake aliojaliwa na Mungu kujitengenezea umeme wa hydro power, si kwa ajili yake tu akawasambazia na majirani wake pia. Nikwambie Polisi wako hao na takataka za serikali zilimfanyaje yule mtu? Zilienda kumkamata na kuvuruga ubunifu wake kisa eti mwenye kibali cha kusambaza umeme ni Tanesco pekee. Takataka hizi hizi znathubutu kuzima talanta za watu wakati huo ndizo zinazopiga magoti na kushangilia kujengewa depot la silaha na mtu mmoja tu mwenye hela.

Nirudie tu kusema. Omba Mungu akunyime vyote lakini akupe akili. Wewe hapo huna akili sawa na mwenzako Sirro, sawa na wenzako wengine wanaoona ni sawa mtu binafsi mfanyabiashara kuijengea serikali ghala la kuhifadhia silaha. Ni aibu kuishi nchi moja na watu wenye akili za kuku namna hiyo, kichoumiza zaidi watu kama hawa wapo hadi ngazi nyeti za kile kinachoitwa serikali ya nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom