IGP Sirro: Namshukuru sana ASAS kwa kutujengea ghala la kuhifadhia silaha mimi ni mwenzenu nimesoma Tosamaganga High school!

IGP Sirro amemshukuru mfanyabiashara maarufu mjini Iringa ASAS kea kulijengea Jeshi la Polisi ghala la kuhifadhia silaha

Sirro amesema yeye ni mwenyeji wa Iringa kwani Form 5 na 6 amesoma Tosamaganga High school

Ikumbukwe tu JPM alisoma Mkwawa na JK alisoma Tosamaganga pia

Source ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote
Sijui kama sasa kuna atakyemgusa ASAS
 
IGP Sirro amemshukuru mfanyabiashara maarufu mjini Iringa ASAS kea kulijengea Jeshi la Polisi ghala la kuhifadhia silaha

Sirro amesema yeye ni mwenyeji wa Iringa kwani Form 5 na 6 amesoma Tosamaganga High school

Ikumbukwe tu JPM alisoma Mkwawa na JK alisoma Tosamaganga pia

Source ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote
Mkwepa kodi
 
Haikubaliki serikali kujengewa ghala la silaha na raia na ni kukosa akili kwa viongozi wa taasisi nyeti na ni kujidhalilisha kukiri jambo la kidhaifu mtu namna hii.
 
ASAS akiingiza sembe nchini kuna Policcm wa kunyanyua bunduki kweli! Maana technically hizo silaa zitakuwa zimetoka kuhifadhiwa kwenye ghala lake.
Unawajua police lkn?Hao sio wakuleta nao mazoea,siku ya kugeukwa utajua hujui.

Muulize yule Singasinga,picha moja hapo akiwakabidhi police misaada na wakichekelea mpk jino la mwisho,Ila kilichokuja kufata ITV sasa.
Screenshot_20220624-221710.jpg
Screenshot_20220624-221836.jpg
Screenshot_20220624-221813.jpg
 
Haikubaliki serikali kujengewa ghala la silaha na raia na ni kukosa akili kwa viongozi wa taasisi nyeti na ni kujidhalilisha kukiri jambo la kidhaifu mtu namna hii.
Siyo ghala la silaha tu.Hata mochwari pale Iringa ilijengwa kwa ufadhili.Ni uzalendo tu.Usiweke mawazo mabaya
 
ASAS akiingiza sembe nchini kuna Policcm wa kunyanyua bunduki kweli! Maana technically hizo silaa zitakuwa zimetoka kuhifadhiwa kwenye ghala lake.
Yupo jamaa mmoja ana daladala zake mbovu hazina kibali chochote nyingi zinapita hii barabara ya Morogoro amewashika wakuu wote kuanzia SUMATRA TANROAD huko polisi ndo nyumbani kwake gari yake ikisimamishwa driver ameshapewa maelekezo kama hongo isizidi 5K sasa ole wako uikatae uipige gari yake cheti.

Jamaa anaweza akaamua akaenda kituo chochote cha polisi akakifanyia ukarabati so ktk mazingira kama haya hakuna wa kumgusa,yupo askari traffic alikuwa anakaa pale Kimara Korogwe alivuliwa nguo nyeupe akapewa za khaki leo anakagua na kuandikisha vithibiti vya watuhumiwa pale polisi Magari Saba Mbezi.
 
Mkwawa waliwawekea magogo timu yetu ya soka ya Tosa na kuwarushia mawe

Basi siku ya pili waalimu wetu wakaruhusu watata kama watu wa Tarime wao tu wapande bedford yetu wakalinde heshima ya jina la shule yetu.
Kiliumana kweli kweli.. wajuba walitoa kipigo kikali hadi waalimu wetu walijilaumu.
Hiyo hadithi itakuwa ni kabla ya uhuru wa Tanganyika.
 
Haikubaliki serikali kujengewa ghala la silaha na raia na ni kukosa akili kwa viongozi wa taasisi nyeti na ni kujidhalilisha kukiri jambo la kidhaifu mtu namna hii.
Magu alikataa haya mambo kijeuri kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom