IGP Sirro nakuomba shughulika na wanaofanya mauaji huko Njombe kama ulivyoshughulikia wale wa Kibiti

Lini na Nani Alisema Njombe tumeendelea kuzidi Pwani?, Leta Ushahidi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi upo hapa kama mada, mbali mbali, zimewahi kuwekwa hapa.
Siongelei Njombe kama njombe tu, nje ya mikoa iliyo ukanda wa pwani, labda ondoa Moro, wenyeji wa mikoa mingine ikiwemo Njombe, huwa mnajinadi hivyo. Lakini kinyume chake huko kumekua matukio makubwa ya Kishirikina kuliko mikoa ya pwani.

Wewe kama ni member wa mda mrefu, kuomba ushahidi wa mada zinadis mikoa ya pwani, labda unahitaji kubishana tu.

Ushahidi ni kitu kizuri Ndugu ili Kumaliza mizizi wa fitina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom