IGP Sirro huyu Trafiki wako mwenye Mbwembwe Kawe, Lugalo na Mbezi Beach anapokea Rushwa bila Aibu huku akijiamini kabisa

Hii nchi raha saana yaani uovu unajengewa nyumba yaani...what a hell...mijitu imeshakuwa addicted na maisha ya hovyohovyo. Hivi Kila kosa lznmtu atoe helaa mengine si onyo au kalipio yaani mtu akikosea tuu azame mfukoni.....aisee
Halafu anatokea mtu mmoja anasema sio kila rushwa ina madhara, baadhi ya watanzania sijui wana akili gani yaani uovu unachukulia ni jambo la kawaida wanasahau kuwa hata onyo linafaa kutumika lakini wanaikubali rushwa! Then kuna siku watarudi hapa na kusema nchi imetapakaa rushwa kila sehemu wakati wao ni wazoefu wa kutoa. Rushwa ni adui wa haki.
 
Ambaye hajawahi kufanyakosa lolote na awe wa kwanza kumtumia lawala..achilia mbali kula rushwa, ni mara mia ungeenda ukamuambia mwenyewe moja wa moja....zaidi ya hapo ni roho mbaya tu....haijalishi kachukua au hajachukua....
Kuna watu kibao huko wanakula mema ya hii nchi hatari....wanakula per diem za kutosha tu..tenda ambazo hazikatwi kodi yoyote, sembuse hawa jamaa wanashinda barabarani...jua mvua lao...??
 
Acha udhalilishaji na dharau kwanza maana inafuta hoja talk nzuri sana,Kua Emolo/mbilikimo si matakwa yake
 
Shida yako ni wivu anamdonoa mke wako!
 



Unaemzungumzia ni huyu au?
 
Japo Japo kapicha mkuu ili tukuamini
 

Kimti mtu mmoja mfupi mweusi ali pelekwa Lindi .
 
Trafiki na rushwa barabarani ni kama uji na mgonjwa, kila wanasimamisha ya gari la abiria au la mizigo na kujifanya wanakagua leseni nk, dereva huchukua hela na kuiweka kwenye leseni na kumpa askari. Askari alishaondoka he la "yake" humrudishia dereva leseni na safari kuendelea mpaka atakaposimamishwa tena na kurudia zoezi.
 
Kweli kabisa

Ova
 
Kama unamzungumzia Ashraf, huyo mwana mkaushie tu kabisa au pengine wewe utakuwa mgeni wa hii njia. Kwa kazi anayoifanya na namna anavyoishi na madereva wa hii njia usiongee usichokijua. Mchizi mpaka afikie hatua akuandikie cheti basi umezingua pakubwa mno vinginevyo anakuelekeza tu namna inavyotakiwa iwe ujirekebishe.
 
Bila video ni umbeya na uzushi, tena huenda mwandishi ni trafiki, anayetamani kuhamishiwa hicho kituo.

Everyday is Saturday...............................
 
Hii ni kawaida ungekuwa hata wewe ungechukua. Polisi nao ni binadamu Kama sisi sio kuwa wao ni malaika. Rushwa mpaka ni dunia nzima.polisi kutongoza sio dhambi. Ke si anamkataa kwani akalazimishwa kuwa amkubali. Tongozo ni kawaida kabisa Kama amevutiwa na ke aingize vocals kistaarabu basi atakayemuelewa atatoa ke ampe.
Ama hautongozi wewe
 
Hao wanene wanalamba mgao wa tozo ya uzalendo kwenye sandarusi iweje watumishi wa chini waangushiwe jumba bovu kwa kujikimu na vijisenti vya kubrashia viatu, nyumba isafishwe kutokea chumbani.
 
Rushwa zote zina madhara, hii kauli ya kuwa sio kila rushwa ina madhara ndizo zinazopelekea kukua kwa tatizo! Tunakoelekea tunalibomoa taifa. Narudia tena "RUSHWA ZOTE ZINA MADHARA"
Kununua haki yako kuna madhara!!
Kwa hiyo unashauri huyo dereva asingekubali kutoa buku tano,na angekubali kulipa fine ya 30000!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…