IGP Sirro anasema hawezi kumkamata Askofu Gwajima mpaka apate barua. Je, hivi ndivyo anafanya kwa makundi yote?

Hata akiacha tu. Maana imeeleweka kuwa unayemwita IJP kumbe ni kidume na tena ni rijali!
 
Imekuwa kawaida kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa maagizo ya mdomo ya 'wakubwa' chamani na Serikalini
Siyo wapinzani tu wanakamatwa kwa maagizo ya mdomoni, hata watumishi na watendaji wa umma wanakamatwa na kuswekwa mahabusu kwa maagizo ya mdomoni!
 
Jamaa Sirro mjanja sana, hataki msala kama wa sabaya wa kupokea tu maagizo ya wakubwa bila official statement kimaandishi.

hii ni nzuri kama akija kupata msala kama sabaya anaonesha evidences za maagizo hayo kimaandishi
Sirro ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine!
 
Siro amecheza ngoma kwa kujua au kutokujua. Ameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa IGP kujibu alivyojibu na kuonyesha mgongano zaidi ...
 
IGP Sirro amedai kuwa jeshi la polisi haliwezi kumkamata mtu bila ya kuwepo mlalamikaji! IGP Sirro huyohuyo na jeshi lake la polisi wamekuwa na mfululizo wa kuwakamata wafuasi wa Chadema makanisani kwa madai ya kufanya fujo makanisani huku makanisa husika yakikanusha kuhusu uwepo wa fujo! Hapa ndipo ninapojikuta siielewi lugha anayoongea mtukufu IGP Sirro ya siyo ndiyo ndiyo siyo.
 
Maigizo ya wanakijani na vyombo vyao saidizi.
 
IGP ni mwenye njaa ya tumbo,why bado anakwenda kwenye nyumba za ibada sielewi,mikono yake imejaa damu na muhimu ajifikirie ataacha legancy gani kwake na family yake,PM akiagiza mtu X akamatwe,sirro mara moja anatekeleza bila kueleza sheria za kumkamata suspect,tutasubiri sana wakati wenzetu Zambia its time for change!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom