Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,087
- 22,809
Mbona unachekesha, eti Sirro ana jeshi, jeshi gani? Yaani huyu Sirro ambaye kwa taratibu anatakiwa ampigie Mh. Lissu saluti! Acha utani, wenye jeshi ni wananchi na hata hiyo serikali iliyopo madarakani ni ya wananchi japo wapo wapumbavu hata hilo hawalijui. Kumbuka Tanzania itaendelea kuwepo bila CCM, bila Chadema, bila Magufuli, bila Sirro, bila wewe, bila mimi na bila vichaa wote wanaoamini wana hati miliki ya taifa hili.Ujue yeye ana Jeshi akitoa amri wewe ndiyo utaumia na wala siyo huyo Lissu yeye atakjmbilia Ubelgiji au na wewe tayari una uraia wa Ubelgiji.