IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

Ni mume wa Zamaradi Mketema..

Jamaa ndiyo alimfanya Ruge Mutahaba(R.I.P) alie kama mtoto kwenye simu anavyombembeleza Zamaradi..

Pia inasemekana ni Binamu wa Waziri Mkuu..
kwa ruge hapo jaziapo nyama kidogo.
 
Siyo uwoga wewee mgerasi. Hicho kitu mguu wa kuku hataree. Yani kitu ukipress tu kinatoa vitu vyenye ncha kali/butu vinavyoruka hewani kwa kasi ya ajabu pah pah paah. Dah mzungu maamae hajakariri kasoma nakuelewa
Kwahyo mtu akishika hiyo kitu akataka kumchukia mkeo utakubali kids kinatoa hivyo vitu?
 
dah huyo jamaa jasiri sana yani unanyooshewa bastola ndio kwanza unamuambia pasua. Mimi ningezimia ama ningetimua mbio.

Pia hyo shaban amekosea huwezi kumnyooshea mtu bastola hivyo kwa bahati mbaya risasi ikafyayuka. Vitu vingine inabidi kutumia hekima tu hasa ukiwa na hasira
Mwanangu, wewe mwanaume wa Dar es salaaam
 
Huyu ni mume wa zamaradi mketema,na mtoto wa dada yake na waziri mku wa nchi hii.hapo hamna kesi funika kombe mwanaharamu apite!! Jamaa huwa ni mpole sana sijuii nini kimemkuta leo......itakuwa dereva alimpushi kwenye edge akawa provoked vya kutosha
 
Back
Top Bottom