Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,829
- 6,378
Umetoa ushirikiano kwa polisi?Kamanda Siro/Wambura, mtu kapiga risasi mbili ndani ya msikiti pale Kilimahewa Salasala siku ya eid, lakini hadi leo anarandaranda mtaani kwa mbwembwe, kulikoni?
Umetoa ushirikiano kwa polisi?Kamanda Siro/Wambura, mtu kapiga risasi mbili ndani ya msikiti pale Kilimahewa Salasala siku ya eid, lakini hadi leo anarandaranda mtaani kwa mbwembwe, kulikoni?
Risasi hizo zilipigwa kwa sababu gani? Jamaa alimuibia mtu? Aliibiwa? Au alipiga tu kwa utemi wake?Kamanda Siro/Wambura, mtu kapiga risasi mbili ndani ya msikiti pale Kilimahewa Salasala siku ya eid, lakini hadi leo anarandaranda mtaani kwa mbwembwe, kulikoni?
SawaAngesafisha kwanza.. hapo kumejaa wapiga deal hasa detectives kibao....
Hivi Unajua Kinondoni ina watu wengi kuliko Dodoma,Iringa,Mkuu wa kipolisi ,temeke,kinondoni na ilala ni vyeo vya kuondoka kwa sasa, abakie RPC dar es salaam tu. Ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Ikifaa zaidi ma OCD wa ilala,temeke na kinondoni wapewe nafasi hizo kwenye wilaya zao.mabosi ndani ya wilaya moja kipolisi wamekuwa wengi na wananchi wanatumia mwanya huo huo kufanya mambo yao.
Kweli kabisa uozo uko ndani ya jeshiAngesafisha kwanza.. hapo kumejaa wapiga deal hasa detectives kibao....
Mkuu Nafikiri hujaelewa maana ya ugatuzi huo.Mkuu wa kipolisi ,temeke,kinondoni na ilala ni vyeo vya kuondoka kwa sasa, abakie RPC dar es salaam tu. Ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Ikifaa zaidi ma OCD wa ilala,temeke na kinondoni wapewe nafasi hizo kwenye wilaya zao.mabosi ndani ya wilaya moja kipolisi wamekuwa wengi na wananchi wanatumia mwanya huo huo kufanya mambo yao.
kuelewa nilichozungumza siorahisi .wanaofanya doria majini wanaelewaKinondoni imekuw kigambon tena
Uteuzi mpya mkuu wa wilaya ya kinondoni ateuliwe kutokea JWTZ. Kinondoni itatulia hamtaaminiKinondoni nikitovu cha uhovyo wote uliopo Dar ...sijui kwakua imezungukwa sana na bahari
Hiyo biashara imepitwa na wakati, kwa mantiki hiyo hata jiji la arusha,mbeya,mwanza,yalitakiwa kuwepo na wilaya za kipolisi. Hiyo biashara ya wilaya za kipolisi ifutwe na wilaya hizo wakuu wa wilaya WATEULIWE kutokea JWTZ.Mkuu Nafikiri hujaelewa maana ya ugatuzi huo.
Hizo unazoita wilaya zina idadi kubwa ya Watu kuliko baadhi ya mikoa ya TZ.
Tafsiri yake ni kwamba mgawanyo wa kirasilimali Watu ,nyenzo nk Ilala au Temeke inapata Sawa na Arusha.
Hii inasaidia kuweza kuhudumia wingi wa Watu waliosongamana DSM.
Kurudisha iwe Mkoa mmoja ni kudumaza huduma.