IGP Simon Sirro afanya kikao kazi na maofisa wa Polisi Kinondoni na kutoa maagizo mazito

Kamanda Siro/Wambura, mtu kapiga risasi mbili ndani ya msikiti pale Kilimahewa Salasala siku ya eid, lakini hadi leo anarandaranda mtaani kwa mbwembwe, kulikoni?
Umetoa ushirikiano kwa polisi?
 
Kamanda Siro/Wambura, mtu kapiga risasi mbili ndani ya msikiti pale Kilimahewa Salasala siku ya eid, lakini hadi leo anarandaranda mtaani kwa mbwembwe, kulikoni?
Risasi hizo zilipigwa kwa sababu gani? Jamaa alimuibia mtu? Aliibiwa? Au alipiga tu kwa utemi wake?
 
Hivi ujambazi na uharifu ni Gov sponsored au Mama wanampima ubavu.
Haiwezekani urudi kwa kasi ya 5G hivi
Si ubakaji Kagera, watu kupigwa risasi, uporoji n.k
 
Mkuu wa kipolisi ,temeke,kinondoni na ilala ni vyeo vya kuondoka kwa sasa, abakie RPC dar es salaam tu. Ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Ikifaa zaidi ma OCD wa ilala,temeke na kinondoni wapewe nafasi hizo kwenye wilaya zao.mabosi ndani ya wilaya moja kipolisi wamekuwa wengi na wananchi wanatumia mwanya huo huo kufanya mambo yao.
Hivi Unajua Kinondoni ina watu wengi kuliko Dodoma,Iringa,

Unajua Mbagala ina watu wengi kuliko Zanzibar?
 
Mkuu wa kipolisi ,temeke,kinondoni na ilala ni vyeo vya kuondoka kwa sasa, abakie RPC dar es salaam tu. Ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Ikifaa zaidi ma OCD wa ilala,temeke na kinondoni wapewe nafasi hizo kwenye wilaya zao.mabosi ndani ya wilaya moja kipolisi wamekuwa wengi na wananchi wanatumia mwanya huo huo kufanya mambo yao.
Mkuu Nafikiri hujaelewa maana ya ugatuzi huo.
Hizo unazoita wilaya zina idadi kubwa ya Watu kuliko baadhi ya mikoa ya TZ.

Tafsiri yake ni kwamba mgawanyo wa kirasilimali Watu ,nyenzo nk Ilala au Temeke inapata Sawa na Arusha.
Hii inasaidia kuweza kuhudumia wingi wa Watu waliosongamana DSM.
Kurudisha iwe Mkoa mmoja ni kudumaza huduma.
 
Hiyo biashara imepitwa na wakati, kwa mantiki hiyo hata jiji la arusha,mbeya,mwanza,yalitakiwa kuwepo na wilaya za kipolisi. Hiyo biashara ya wilaya za kipolisi ifutwe na wilaya hizo wakuu wa wilaya WATEULIWE kutokea JWTZ.
 
Back
Top Bottom