IGP mwema na tuzo ya Amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IGP mwema na tuzo ya Amani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jun 1, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana JF ktk magazeti ya leo nimesikia kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Saidi Mwema anategemea kupokea TUZO inayohusu AMANI hapa Tanzania,

  Swali langu hapo ni kwamba ni lipi haswa alilofanya mkuu huyo mpaka apewe TUZO hiyo? ama anapewa hiyo Tuzo kwa kuwa Polisi wake wamekuwa wakishiliki ktk mauwaji ya watu wasio na hatia?

  Kwani Sio siri kwamba Jeshi la Polisi Tanzania lina sifa chafu na yayumkinika kuamini kuwa ni taasisi inayochukiwa sana na walalahoi.Sifa kuu mbili za jeshi hili linaloongozwa na IGP Saidi Mwema ni :-
  1) RUSHWA ILIYOKUBUHU na
  2) UBABE WA KUPINDUKIA.

  na hata ukisoma mhalili wa gazeti la( 01/06/2011) Tanzania daima lina sema POLISI WATASABABISHA VITA

  Sasa inakuwaje tena IGP Mwema apewe Tuzo ya amani kama bado kuna kasoro nyingi zinazojitokeza ktk chombo anachokiongoza?

  [​IMG]
   
 2. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutakuwa na vigezo wanavyompima navyo mtu!
  Utaweza kukuta maana ya AMANI kipolisi huenda ni kuwa rais hajapata kashkash za raia za kumkosesha usingizi!
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hehehehe
  yaani unamaanisha matatizo yote tuliyonayo bado Raisi wetu anapata usingizi? hata vifo vya vijana arusha,mara hata PALE Polisi walipo pambana na raia Dar bado raisi aliendelea kupata usingizi?


  HIVYO VIGEZO BADO VITAKUWA NA KASORO
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndo muda huu wakupatiana matunzo kiushikaji maana jamaa akiachia kiti mambo yatakuwa balaa waachani tu wapeane hizo tuzo...
  Clap!
   
 5. w

  wela masonga Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Hata madikteta huwa na nishani nyingi nyingi tu.Kinachofanyika siyo kitu kipya ila kipya kitatokea siku za mbele Watanzania watakapopata uongozi tofauti unaojali maslahi ya taifa na si ya vikundi maslahi, tuzo hizi zitageuka kuwa vyeti vya aibu na laana
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Ipi hiyo amani? Yan kila siku askari wanaua raia af wanasema kuna amani? Huku tunapoelekea inawezekana kila mtu akawa na bunduki yake iwe km huko drc hakuna amani ubabe ndo upo saaana!!!!
   
 7. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amani kwenye uhusika wa kuiba miili ya marehemu na kuitupa barabarani ambapo wahusika wa mauaji ni haohao wanaopeana tuzo
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,366
  Trophy Points: 280
  Hiyo tuzo inatolewa na nani, nadhani kutoka hapo tukiwa na info kamili inaweza kuwa na maana katika kuchangia. Kiujumla tuzo ya amani kwa IGP ni kama tusi kubwa ikipokewa kwani ni polisi wenyewe wanaochafua amani kwa kupokea rushwa, kubambika kesi, na kupenda kubonyeza triga hata pale 'mtuhumiwa' anapokuwa amenyoosha kitambaa cheupe
   
 9. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wampe 2 lakini roho itakuwa inamsuta kila siku akiitazama hiyo tuzo na waliouwawa kikatili watakuwa wanamtokea akiiangalia hyo tuzo,
   
 10. k

  kautipe Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naunga mkono apewe tuko kwani haimuongezei cku za kuishi wala kufuta kilio cha damu ya raia iliyomwagwa na vijana wake huku yeye akicheka
   
 11. M

  MBANINO Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani anatunukiwa tuzo ya kuwahakikishia Mafisadi amani kwa kutumia nguvu za askari wake. Ni tuzo ya kumpongeza kwa kutekeleza matakwa ya mafisadi pasipo kujali maslahi ya walio wengi.
   
Loading...