IGP Mwema na Polisi wauaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IGP Mwema na Polisi wauaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by johnmashilatu, Jan 14, 2011.

 1. j

  johnmashilatu JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Nakosa maneno mazuri ya kumwelezea IGP Mwema, labda wenzagu mnaweza kunisaidia kuitazama historia yake.

  wale mahabusu 17 waliokufa kwa kukosa hewa baada ya kufungiwa kwenye chumba kimoja kidogo wakiwa zaidi ya 40, kule wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Ni nani aliyekuwa RPC wakati huo

  wale wanaoitwa "majambazi" waliokuwa 11 na kuuawa wakiwa kwenye gari aina ya Escudo wakidaiwa kupanga kwenda kuiba benki mkoani Kilimanajro, miaka miwili iliyopita yalifanyika chini ya IGP huyu

  wale majambazi wa Dodoma, etc waliouawa kwa kisingizio cha ujambazi na kuachwa hivyo bila hatua kuchukuliwa leo tunayaona matokeo yake

  baadhi yetu tulikuwa tukidai kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza matukio hayo, lakini majibu yaliyokuwa yakitoka ni kuonekana kuunga mkono kitendo cha piolisi kuuwaua "majambazi"

  Nyerere alisema ukiisha anza kula ya mtu, utaendelea. Leo IGP na jeshi wamewageuza watanzania vifaa vya kufanyia mazoezi ya shabaha na kupiga virugu na hakuna hatua inayochukuliwa

  Tukiendelea kudhani kuwa yametokea Arusha na sasa mbarali kuwa hayawezi kufika mahali pengine tunajidanganya, Mwema amegeuka mumiani anakunywa damu za watu kwa kisingizio cha watu wnaaokiuka mamlaka halali
   
 2. e

  elimukwanza Senior Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MWEMA ni shemeji yake Kikwete.je wajua uhusiano wa kikwete na Mlacha wa UDOM?
   
 3. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Thugs and Criminals in Uniforms, that's my understanding of the Tz Police Force making

  All of them top-bottom, are really shame to Tz.
   
 4. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Jeshi la polisi ni jeshi la wahuni, period. These goons know nothing about the rules of engagement, and sadly they are not there to protect the public welfare. It is about time to ask the Inspector General of Police and Minister of Home Affairs to resign since they have failed to stop not only police brutality but worse of all killings which are conducted under the guise of restoring order.
   
Loading...