Na kuna tetesi kua hua akiona hajaonekana kwenye Tv na vyombo vya habari hua anachukua Silaha na kuita wanahabari kua Zimekamatwa mikononi mwa majambazi na wanawashikilia baadhi yao. Kwa haraka nilibisha kabisa ila hivi karibuni aliibuka na styl yake kama kawa. Nilimtazama na kua na ualakini katika presentation yake, kivipi?
Kwanza hua anazifumbata silaha kana kwamba hazihitaji uchunguzi zaidi mahakamani, hapa namaanisha "Fingure prints" kwani hua hana special gloves hivyo kufuta ushahidi au kujipa jukumu la kua yeye ndie jambazi kuweka Prints zake pale kwenye silaha.
Pili matukio yote hua amejipanga kwa kua huongelea sehemu iliyotayarishwa kana kwamba anakuja hutubia waandishi wa habari hadi nembo ya Jeshi la polisi inakuepo.
Tatu katika matukio yote anayoita waandishi wa habari hakuna picha iliyowahi pigwa wala kuonyeshwa kwa vyombo vya habari zaidi ya maelezo yake na kukumbatio silaha za watuhumiwa wa miaka ya 1994 ambao wako jela tayari. Au ulishawahi kumuona katika eneo la tulio akitoa habari zake LIVE? Nikumbushe labda nimesahau.
KOVA/ MWEMA ni ceremonial figure tu pale hana chochote zaidi ya hayo niliyoweza kudadavua.........
Mwanakijiji ,hapa nilionalo tatizo sio Said Mwema wala polisi hapa tatizo ni utawala,CCM na JK wenyewe hawa watu wanatekeleza ajenda ya siri ya chama tawala CCM.Wameshindwa kwa hoja,wameshindwa kwa ushawishi hawakubaliki hivyo kilichobaki sasa ni mabavu,wako tayari kwa lolote lile hata kama inapobidi kupoteza maisha ya watu.Wameisha gudua mwisho wao uko karibu,wanachotaka kukifanya ni kupandikiza machafuko miongoni mwa watanzania ili wakishaondoka waje na kauli ya kua amani imetoweka kwa vile CCM haipo madarakani.Hapa wa kubanwa JK na CCM tunapolalamikia jeshila polisi tunawapa muda wa kuvuta puumzi.MUNGU IBARIKI TANZANIA.How long shall we wait for this guy to go? NI kweli wabunge wanaogopa kutaka aondolewe? watu wangapi wameteswa mikononi mwa polisi na kufa; ni mara ngapi tumelalamikia nguvu zinazotumiwa na polisi dhidi ya wanaharakati? Kwanini anaendelea kuwa IGP wakati jeshi lake limehusishwa na kashfa nyingi sana za uvunjaji wa haki za binadamu na zile za kiraia? Na mara ngapi tumeona jeshi hili likitumia "intelligensia" kuzuia maandamano ya kisiasa lakini ikikosa "intelligence" linapokuja suala la utekaji nyara?
Waliomuua kijana yule wa Ubungo kule Igunga wamepatikana?
Waliowapiga wabunge Kirumba wamepatikana?
Tarime?
Arusha?
Songea?
Bado we don't see this pattern of gross incompetence ya Said Mwema na uongozi wa Jeshi la Polisi? Shemeji yaRais? so what? Ushemeji wao unalihusu nini taifa. Said Mwema must go NOW!!! We have had enough of this level of mediocrity!
Binadamu wote nai sawa yote haya kwa sababu Dr kapigwa wangapi wanauawa/wameuawa acha maalbino binamu yangu ameuawa wki iliyopita tu leo kapigwa Dr ndio mnatoa maoni watz tuache mawazo ya zimamoto...
How long shall we wait for this guy to go? NI kweli wabunge wanaogopa kutaka aondolewe? watu wangapi wameteswa mikononi mwa polisi na kufa; ni mara ngapi tumelalamikia nguvu zinazotumiwa na polisi dhidi ya wanaharakati? Kwanini anaendelea kuwa IGP wakati jeshi lake limehusishwa na kashfa nyingi sana za uvunjaji wa haki za binadamu na zile za kiraia? Na mara ngapi tumeona jeshi hili likitumia "intelligensia" kuzuia maandamano ya kisiasa lakini ikikosa "intelligence" linapokuja suala la utekaji nyara?
Waliomuua kijana yule wa Ubungo kule Igunga wamepatikana?
Waliowapiga wabunge Kirumba wamepatikana?
Tarime?
Arusha?
Songea?
Bado we don't see this pattern of gross incompetence ya Said Mwema na uongozi wa Jeshi la Polisi? Shemeji yaRais? so what? Ushemeji wao unalihusu nini taifa. Said Mwema must go NOW!!! We have had enough of this level of mediocrity!
Jibu hapa ni moja....kuna tofauti kubwa sana kati ya jesh na kaz zingne kionz wa jesh eti ajiuzuru hlo suala kichwan kwako ondoa kabisa.