barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,726
- 32,818
IGP Said Mwema leo amekutana na viongozi wa kanisa katoliki DSM wakiongozwa na Kardinali Pengo. Katika kikao hicho Said mwema amewahimiza viongozi wa dini kuhimiza amani.....katika kikao hicho Kardinal Pengo amesema wameafikiana kuimalisha kamati za ulinzi na usalama za Parokia,na kupata mafunzo toka jeshini ya namna ya kujikinga na uhalifu sehemu za ibada na jinsi ya kukamata wahalifu bila madhara katika maeneo ya ibada...
Pengo amehimiza Parokia kuimarisha kamati za ulinzi toka ngazi ya Parokia,vigango hadi jumuiya ndogondogo
Pengo amehimiza Parokia kuimarisha kamati za ulinzi toka ngazi ya Parokia,vigango hadi jumuiya ndogondogo