IGP Mwema akutana na Kardinal Pengo na viongozi wengine wa Kikatoliki

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
IGP Said Mwema leo amekutana na viongozi wa kanisa katoliki DSM wakiongozwa na Kardinali Pengo. Katika kikao hicho Said mwema amewahimiza viongozi wa dini kuhimiza amani.....katika kikao hicho Kardinal Pengo amesema wameafikiana kuimalisha kamati za ulinzi na usalama za Parokia,na kupata mafunzo toka jeshini ya namna ya kujikinga na uhalifu sehemu za ibada na jinsi ya kukamata wahalifu bila madhara katika maeneo ya ibada...

Pengo amehimiza Parokia kuimarisha kamati za ulinzi toka ngazi ya Parokia,vigango hadi jumuiya ndogondogo
 
Attachments

  • 135.jpg
    135.jpg
    58.1 KB · Views: 770
Changa la macho!!! Wanapooza tu ila wakifika huko wanaanza mambo ya kusakama CDM na udini na ukabila. Siasa at work ila Muadhama Kardinal Pengo ninamheshimu kwa umakini wake. Nanyi mkibaki pangeni mikakati yenu maana hii ya kiserikali haijawahi kuwa ya kweli hata kidogo!!! Wanashindwa kulinda mali zetu wanaimarisha ulinzi katika makanisa na ibada muhimu? Polisi wetu masuala yao binafsi ni mengi kuliko yale ya msingi yaliyowaajiri.
 
Hao ni makadinali au Masheikh? naona kanzu zimeshamiri.
 
Huu ni ni mwanzo wa kuwa na majeshi mengi na maamiri jeshi kibao katika nchi moja. Kila dini na kila dhehebu litakuwa na jeshi lake.
Serikali inataka kutuambia kuwa dola imeshindwa kuwalinda raia wake na hivyo walibebe jukumu la kujilinda wao wenyewe? Sipati picha !!
.
 
Na Vyama vya siasa vina majeshi yao.
 
Huu ni ni mwanzo wa kuwa na
majeshi mengi na maamiri jeshi kibao katika nchi moja. Kila dini na kila
dhehebu litakuwa na jeshi lake.
Serikali inataka kutuambia kuwa dola imeshindwa kuwalinda raia wake na
hivyo walibebe jukumu la kujilinda wao wenyewe? Sipati picha !!
.

mwema amelivuguru kabisa jeshi la polisi,haya saa kila taasisi na jeshi lake.ngoja nami nijiandae kuunda jeshi langu la NGO yangu.
 
Hii vipi tena? Kanisa katoriki lina kamati za ulinzi? Na hao walinzi wenyewe ni akina nani? Na kwamba wafundishwe kukamata waarifu bila madhara ina maana huwa wanawakamata na kuwadhuru? Mnh
 
Huyu mchaga Mwema sijui kwa nini ameshindwa kufiti kwenye jeshi la polisi..
Unawadhalilisha wachaga hawanaga tabia yakutofiti!
 
Hao ni makadinali au Masheikh? naona kanzu zimeshamiri.
Mkuu nataraji ubuheri na upo poa;Hao ni watoto wa bab mmoja Lakini mama mbali mbali...kwani baba alkuwa akiwavalisha wanae kanzu.... Lakini mama zao walikuwa wakiwapamba ziada. Ndo maana ukaona kanzu zakipadre na za kiSheykhe!! Mwnyezzi Mungu atuwekee Amani na usalama Maishani mwetu.AMIN
 
Serikali wanafiki wakubwa wanasafisha njia ya ujio wa OBAMA baada ya kusikia jamaa atateta na makundi na taasisi zisizo za kiserikali.Hii yote ni kuzima bomu walilopiga arusha.carcass serikali
 
Changa la macho!!! Wanapooza tu ila wakifika huko wanaanza mambo ya kusakama CDM na udini na ukabila. Siasa at work ila Muadhama Kardinal Pengo ninamheshimu kwa umakini wake. Nanyi mkibaki pangeni mikakati yenu maana hii ya kiserikali haijawahi kuwa ya kweli hata kidogo!!! Wanashindwa kulinda mali zetu wanaimarisha ulinzi katika makanisa na ibada muhimu? Polisi wetu masuala yao binafsi ni mengi kuliko yale ya msingi yaliyowaajiri.
Pengo kwenda kukutana na IGP Mwema ni kujidhalilisha,hata hivyo kwasababu naye ni mwana CCM haishangazi sana!
 
Hao ni makadinali au Masheikh? naona kanzu zimeshamiri.
Bila shaka masheikh ndio walioiga vazi la kanzu la mapadri, na ushahidi ni kwamba uisilamu ulikuja baadae sana, zaidi ya miaka 600 AD (AD ni baada ya Kristu)
 
Back
Top Bottom