Sirro ni Shujaa wa Nji hii u achoangalia wewe kimegubikwa na tongotongo za kutojua au za ushabiki na hata usaliti. Hela za kuzikana zinamuhusuje IGP? Hivi kazini kwako au Kijijini hamna utaratibu wa kuzikana? It's a private affair kama zimeibiwa ni sawa na mwizi yeyote. Ni.kaxi ya IGP kama vile ilivyo wizi wowote ule.