jmalema
Member
- Feb 23, 2015
- 16
- 22
kuna pikipiki 5 zinafanya kazi ya wizi boxer zikiwa chini ya uangalizi wa polisi wako wa mkoa wa kipolisi ilala huzunguka maene ya bot ifm samora jirani na ikulu
biashara iko hivi hawa vijana wamesajiriwa na moja wa polisi wako anaitwa Christopha Mtabutu hupeleka 50000 elfu hamsini per day huyu ni askari wa chini sana ila analindwa na wakuu wake hasa RCO ilala fanya unavyoweza kesi za hawa wezi wa pikipiki huishia hapo na ikiongexezeka pikpik ambayo hawajaisajiri hutolewa mara moja nchi hii imekwisha wezi na fanya wizi huku wakifaidi ulinzi wa polisi