sawa lakini wewe uko yemen ukinunua sindano huko tunapataje kodi yetu?.Mkuu, silazima upeleke Kofi TRA ndipo uonekane unalipa kodi.
Kodi hulipwa hata kwa kununu sindano tayari unakua umetozwa na kodi
Nipo hapa mkuu, ni pm
Ningekuacha upite, lakini naomba nikueleze. Kwanza kumfahamu haina maana ya kumjadili. Pili mimi kama Tanzania mlipa kodo na ninaechangia hicho ulichokiita SALARY nihakiyangu ya kimsingi kutaka kumfahamu.