IGP Ernest Munga

IGP Ernest Munga

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
42,397
Reaction score
104,800
Salam wadau..!!
Kama nilivyo anza na utangulizi hapo juu.
Naomba mwenye kujua CV ya IGP mrithi wa Saidi Mwema, atuwekee hapa jamvini, itapendeza kama ikipatikana historia yake kwa ufupi. Kwamfano, amesoma wapi, alijiunga jeshini lini, alipitia ngazi na vyeo gani na kadhslika.

Nihayo tu wakuu, lengo ni kumfahamu japo kwa uchache.
 
Nitakupa, lakini weka yako kwanza ili nijiridhishe kuwa upo serious
 
Haina maana kumjadili anayepata salary kila mwezi.

Ningekuacha upite, lakini naomba nikueleze. Kwanza kumfahamu haina maana ya kumjadili. Pili mimi kama Tanzania mlipa kodo na ninaechangia hicho ulichokiita SALARY nihakiyangu ya kimsingi kutaka kumfahamu.
 
Anza na yako kwa nini unataka kujua za wenzako yako vipi.
 
Ernest munga sio IGP labda nchi nyingine su Tanznia
 
Salam wadau..!!
Kama nilivyo anza na utangulizi hapo juu.
Naomba mwenye kujua CV ya IGP mrithi wa Saidi Mwema, atuwekee hapa jamvini, itapendeza kama ikipatikana historia yake kwa ufupi. Kwamfano, amesoma wapi, alijiunga jeshini lini, alipitia ngazi na vyeo gani na kadhslika.

Nihayo tu wakuu, lengo ni kumfahamu japo kwa uchache.

....njoo ofisini kwetu, hapa Mkao Makuu "Ministry of Ministry of Home Affairs" (Wizara ya Mambo ya Ndani-Mkao Makuu)
Headquarters, Ghana Street, Dar es Salaam.

"tutakufanyia mipango na utaratibu wa kuonana naye"
 
Ernest munga sio IGP labda nchi nyingine su Tanznia

Asante kwa kunielewesha mkuu,
Misipo Tanzania, na Hays nimeyapata kwenye kijiwe cha watanzania nikaona nibora nililete hapa jukwaani.
Asante kwa maranyingine
 
uko nchi gani????????? na hapo kijiweni walikuwa wanapiga umbea gani
 
Asante kwa kunielewesha mkuu,
Misipo Tanzania, na Hays nimeyapata kwenye kijiwe cha watanzania nikaona nibora nililete hapa jukwaani.
Asante kwa maranyingine
uko nje ya nchi,then hiyo kodi unalipa wapi hadi ujiite mlipakodi.?
 
Asante kwa kunielewesha mkuu,
Misipo Tanzania, na Hays nimeyapata kwenye kijiwe cha watanzania nikaona nibora nililete hapa jukwaani.
Asante kwa maranyingine

...loh! kumbe!
wabeba maboksi mna matatizo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom