IGP aitwa mahakamani shauri la HECHE

IGP aitwa mahakamani shauri la HECHE

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
13,296
Reaction score
42,812
Mahakama Kuu Dar es Salaam imetoa hati ya wito kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na wenzake watano kufika mahakamani kufuatia ombi la mawakili wa CHADEMA wanaotaka Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, afikishwe mahakamani au aachiwe kwa dhamana.

Wengine ni Afisa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji.

Ombi hilo litasikilizwa Novemba 7, 2025 saa 4:30 asubuhi.
20251106_193235.jpg
 
Mliokulia chuga ukiangalia kwa makini lips za cm wamb. Unabaini Nini?
 
Watatuma wawakilishi?

Naomba kuuliza muliro Yuko wapi?
 
Back
Top Bottom