Mkuu wa jeshi la polisi, IGP Said Mwema amesisitiza kuwa jeshi la polisi halitaendelea kuwafumbia macho watu wanaovuruga amani ikiwa ni pamoja na kuchoma nyumba za kuabudia na kuuana kwa kisingizio cha kidini
.....

......

Asubiri muda wake astaafu!hata vijana wake wamemchoka.:rockon:
......
Asubiri muda wake astaafu!hata vijana wake wamemchoka.
.......
si kwamba wanawafumbia macho, Polisi mara kwa mara wamekuwa wakitoa elimu kwa wananchi kuhusiana na utii wa sheria bila shuruti na polisi jamii, ulinzi shirikishi ili wananchi wakielewa vizuri umuhimu wake basi wataweza kusaidiana na polisi katika wakuwabaini na kuwafichuwa wahalifu.
......
Mkuu wa jeshi la polisi, IGP Said Mwema amesisitiza kuwa jeshi la polisi halitaendelea kuwafumbia macho watu wanaovuruga amani ikiwa ni pamoja na kuchoma nyumba za kuabudia na kuuana kwa kisingizio cha kidini
IGP Anatekeleza hayaMkuu wa jeshi la polisi, IGP Said Mwema amesisitiza kuwa jeshi la polisi halitaendelea kuwafumbia macho watu wanaovuruga amani ikiwa ni pamoja na kuchoma nyumba za kuabudia na kuuana kwa kisingizio cha kidini
kwani muuaji si alijisalimisha mwenyewe na alipelekwa mahakamani na ku plea manslaughter?igp na yeye amekuwa nape, anaongea ongea tu. Tunataka aanzie na waliomuua mwangosi. Hana issue kabisaa. Ni boya
Eboo...hivi kumbe jeshi la polisi lilikuwa linawafumbia macho!