Kuna foleni kubwa sana muda huu maeneo kuanzia Korogwe hadi Kimara. Askari wamezuia magari yanayotoka mjini kisa IGP yuko njiani kutoka Morogoro. Sasa jamani naomba maoni yenu maana gharama inayopotelea barabarani kwa ajili ya kutaka ukubwa imezidi. Wanajamvi kazi kwenu