Pia kulikuwa na wale vichaa wa "The tribe called the Quest" ndio kipindi hicho hicho Denis Roadman hashikiki, wakati huo Bozi boziana humwelezi kitu wakati Lenald Mambo Mbotela wa kbc Nairobi halinganishwi kabisa na Dominiki chilambo wa redio tanzania daslam!
Hahah, mkuu. Nawe ulikuw mdau wa vile vijarida
Yaani vibaya mno..nim-miss tena Mwinyi Mpeku katika upekuzi, au vituko vya Lodi Lofa...na zile hadithi tamu za Bawji..hapo hujatia hadith za michoro za IBRA Radi washokela kabla ya John Kaduma kama vile za Linda na mdogo wake Seba na Starring Obi? na vipi Zumo na Mayuku?
Hapa wengi umewaacha pale mataa ya ubungo
Kizazi cha akina snoop dogo dogo
Na Dr love...!
Hapo hujamtia Stanley Kirk Burrell aka MC Hammer...na Vanilla Ice je?...Vipi Cool and the Gang na kitu "Lets go Dancing hoo la la la" madogo tunaimba "leta nazi na mchuzi wa dagaaa"
Loh..! Umenikumbusha ice ice baby..! Na have you seen her?
Na nikikumbuk na prof ndumira kuwili...
na game la Born Towns na ma-Bush Stars!!!!
Kipepe ndan………… kitu pekepeku vs wenye njumu
halafu wa-pekupeku walikuwa wanawakazia jamaa kinoma...ila kwa muonekano madenge hakutakiwa kuwa kipa wa bush...alikuwa na maujanja ya town kinoma
Ah wapi bwana, Mbongo aufyate?! Kesho utaniona na hiyo staili ya nywele tena improved version!hii tumeufyata
Yaani vibaya mno..nim-miss tena Mwinyi Mpeku katika upekuzi, au vituko vya Lodi Lofa...na zile hadithi tamu za Bawji..hapo hujatia hadith za michoro za IBRA Radi washokela kabla ya John Kaduma kama vile za Linda na mdogo wake Seba na Starring Obi? na vipi Zumo na Mayuku?
Yaani vibaya mno..nim-miss tena Mwinyi Mpeku katika upekuzi, au vituko vya Lodi Lofa...na zile hadithi tamu za Bawji..hapo hujatia hadith za michoro za IBRA Radi washokela kabla ya John Kaduma kama vile za Linda na mdogo wake Seba na Starring Obi? na vipi Zumo na Mayuku?
sani ilikua haipindui mbele ya bongo jarida adhim kulikua na hadithi ya michoro ya mike jumbo na akina dikson na george (anga za wenyewe) miaka ya tisisni ile ilikua raha si kidogo