Igeni na hii

kama lile jini la kwenye muvi ya shska zulu.....noma!!!!
 
Nitamkimbia nikimuona...
 
Kudadeki jifanye chizi uige simumezoea mastyle
 
Mtume anasema unajana ni nusu ya uwendawazimu
...mkuu funguka kidogo,ni mtume gani huyo anaye laani ujana,maana sikuizi mitume wengi sana wengine nahisi waongo. Ila bible inasema fahari ya vijana ni nguvu zao,ila wanazitumiaje hilo suala jingine kabsaaa...
 
Mkwe hii hapana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kuna style nyigine hata uanzishe unaweza kukosa hata mtu mmoja wa kukuiga hapa duniani


 
Aliyemwambia kuwa kapendeza, kamdanganya kweli!!! Hahaha...
 
mbona mimi naona amependeza tu..........Kipara safiiii...............
 
...mkuu funguka kidogo,ni mtume gani huyo anaye laani ujana,maana sikuizi mitume wengi sana wengine nahisi waongo. Ila bible inasema fahari ya vijana ni nguvu zao,ila wanazitumiaje hilo suala jingine kabsaaa...

Kweli kabisa mkuu 1yohana 2 anasema 'Nimewaandikia ninyi vijana, kwa sababu mna nguvu na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu'. Sasa nusu ya wendawazimu tena....
 
Unaweza ukashindwa "kumgegeda" ukadhani ni dume jenzio
dah kweli kabisa,lazima uwaze mara mbili na stim lazima ikatike
 
Mpe miezi miwili sepetu, asipoiiga hii ataiga wolper.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…