Wafunge mpaka siku ya mtihani wa mwisho ndiyo waje shule pumbavu zao bangi zao wasituharibie shule yetu.
Wafunge mpaka siku ya mtihani wa mwisho ndiyo waje shule pumbavu zao bangi zao wasituharibie shule yetu.
haki ya Mungu sitausahau huu mkoa wa Iringa pale tosamaganga tuligoma tuliona cha mtema kuni
sitausahau mgomo wa tosamaganga 2011 tulipigika sana
Jamani hivi Ifunda Technical School kuna form six siku hizi??. Nimemaliza hapo form mwaka 1986. Ni kweli kulikuwa na changamoto za maji kwa kiasi fulani. Yakikatika tulikuwa tunaoga katika mto LYANDEMBELA.
Sema sasa shida n nn!? Ukiacha viulizo husaidii mtuUnaporomoka hivo hivi unajua Ifunda ya sasa inakabiliwa na uovu gani uliokithiri kiasi cha hayo yote kutokea? Fikiri upya alafu jutia kauli yako
Hata hivyo hapo wanachapa sana, shemeji yangu alimaliza advance mwaka jana aliwahi kuchapwa fimbo zaidi ya 16 tena ni wakike. Serikali iangalie vzr ila ni kweli wanachapa sana na malalamiko yanatolewa ila hayafanyiwi kazi.