IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani?

Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?

Tena kinachosikitisha ni wanaume watupu yaani sijui ndo mashoga wale jamaa watatu

Hicho chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?
 
Mkuu dunia imeisha yan siku ungejua yanayofanyika vyuoni kwa siri amna atakaemwangalia mwenzake usoni na amna mzazi atampeleka mwanae uko bila uangalizi maalumu na videos zipo nyingi mkuu hazijawa released,, tuvumilie bado kitambo kidogo bwana yesu aludi anyakue walio wake. Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…