IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

Mi nilizicheki hivo video nikahisi kama napatwa na maseke kichwani nikaanza kuona wenge nikazifuta vijana wenyewe hawa hapa wanapakuwana vibaya vibaya.Ishu ni kwamba wote wametoka mikoani ila sifa mbaya zinalikumba jiji la dar.View attachment 2023415
Haya mambo sio ya kucheka ni kuhuzunika hasa ukiwa mzazi au ndugu familia yeyeto inaweza ikakumbwa na jinamizi hili.
Hii mitandao kukutana na picha za ndugu ni tegemeo wakati wowote
 
Mkuu dunia imeisha yan siku ungejua yanayofanyika vyuoni kwa siri amna atakaemwangalia mwenzake usoni na amna mzazi atampeleka mwanae uko bila uangalizi maalumu na videos zipo nyingi mkuu hazijawa released,, tuvumilie bado kitambo kidogo bwana yesu aludi anyakue walio wake. Ameen
kama imeisha kwanini huyo bwana yesu asiikomboe na uwezo anao au ameenda wapi
 
Dah kuna dogo yupo pale mwaka jana alianza kusuka, mama mzazi inasemekana akawa anahisi kashapoteza.

Ila ulimwengu huu umekuwa uwanja wa vita sanaaa
Huyo dogo wako ana matatizo, kwasababu ifm pale hairuhusiwi kusuka, tena kuna dress code kabisa pale

Hayo mambo mnayoyaona mitaani ni utashi wa hao wanafunzi wenyewe ila chuo kina taratibu zake kabisa, hiyo kusuka hairuhusiwi kwenye dress code za chuo
 
Back
Top Bottom