IFM Programmes for 2012/2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IFM Programmes for 2012/2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mjanga, Aug 22, 2012.

 1. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Msaada tafadhali kuna ndugu yangu amepata admision IFM kwenye programe:
  Bachelor of Science in SOCIAL PROTECTION naomba mwenye uelewa wa hii kozi anijulisha
  baada ya hapo unakuwa nani? na soko lake la ajira limekaaje? au uwezekano wa mtu kujiajiri kwa kuapply knowledge inawezekana?
  msaada unahitajika haraka sana!
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Embu ngoja wataalamu wanakuja....
   
 3. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  jamani hawa wataalamu mbona hawafiki??

   
Loading...