Dikteta Uchwara
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 204
- 285
Ni kweliWasalaam wakuu.
Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.
Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.
La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.
Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
sawa dikteta tumekusikia tutafanyia kaziWasalaam wakuu.
Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.
Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.
La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.
Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
Nimependa jina lako ila ongea na viongozi wa darasa iyo issue ndogo sana uyo mwalimu inakula kwakeWasalaam wakuu.
Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.
Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.
La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.
Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
Rushwa?Mimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Itakuwa uliombwa rushwa ya ngonoMimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Shwaini
Busara kubwa sana ingekuwa ni kulifikisha swala hili mahali husika ndio maana kuna serikali ya wanachuo na pia kuna uongozi wa chuo na pia kuna principal, lakin kwa hiki ulicho kifanya hapa kinaweza kuchukuliwa tofauti na matarajio yako.Wasalaam wakuu.
Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero sana hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.
Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.
La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.
Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
Na ww uliombwa rushwa ya ngono [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Shwaini
Na ww uliombwa rushwa ya ngono [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu, nimeandika jambo lililo tokea. Kama kuna wahitimu wa mwaka huu humu watathibitisha haya.Nilidhani una hoja kumbe PUMBA!!! Mwl afelishe darasa zima ili iweje? Tena ninyi wa awamu ya JK hata chuo kikiwaondoa wote sioni shida akili hamna vichwani, Library hamuenda ila kufaulu mnataka.
Ww unadhani tafti ya 61% Vil,aza imekujaje Tz kama siyo akina ww?
Kutongoza mademu, kupiga selfie na kuchat ndio Syllabus alizo wapa Shukuru Kawambwa!!
Baada ya kulitambua hilo,hatua yako ya kwanza kuchukua ni kutoa duku duku lako humu Jamii Forum au umeuona kwnza uongoz wako wa chuo?Wasalaam wakuu.