Ifm ifm

Wakuu Tution fee kwa sisi wa BA
Tc Nill...haina loan... nataka kujua kuhusu
malipo...unalipa yote 1,500,000 au inakuaje
wadau Tujuzane...wakuuu
 
Duu, wanafunzi wangu wapya wamo JF.Mkini challenge humu, nawakamata kwenye mitihani ha-ha-ha-ha.
 
Me naona kuhusu tution fee 2subiri loan board kwani watalocate loan amount kwa kila cozi,xo hapa nisala 2 coz unaweza toka kapa.
 
Me naona kuhusu tution fee 2subiri loan board kwani watalocate loan amount kwa kila cozi,xo hapa nisala 2 coz unaweza toka kapa.

Hapo ni kujipanga 2.'z course zote za ifm ni nonpriority..c CS or IT xo sisi wa kayumba!!!!wanatuweka katika wakati mgumu kchz ukizingia tcu hapo ifm wamenipeleka wenyewe out of ma choice.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom