Mkuu ondoa hasira za kipuuzi kihivyo. Ile ni penalty bila hata ubishi, Ivory Coast had their chances but failed to capitalize on them. Na katika mechi kama ile unapokuwa ndani ya 18 you try to do anything possible to gain advantage ila yule jamaa Sio wa Ivory Coast tripped Samaras ndani ya 18 so what choice does the referee have? Mkuu, ulikuwa unaangalia mpira kweli ama ulikuwa unashabikia uafrika? Kwa mtazamo wako unafikiri kuna nchi gani ya Kiafrika ambayo ipo pale Brazil yenye uwezo wa kuchukua kombe la dunia? Jibu ni hakuna.
hapana, nitaweka hapa picha ya penati ambayo SAMARAS aliangushwa ndani ya boksi, lakini akasema hakuguswa kwenye mechi vs COLOMBIA, acha kujifanya hujui.
ongea kitaalamu.