Ifikie wakati Nchi za Africa tujitoe kushiriki Kombe la dunia

Mkuu ondoa hasira za kipuuzi kihivyo. Ile ni penalty bila hata ubishi, Ivory Coast had their chances but failed to capitalize on them. Na katika mechi kama ile unapokuwa ndani ya 18 you try to do anything possible to gain advantage ila yule jamaa Sio wa Ivory Coast tripped Samaras ndani ya 18 so what choice does the referee have? Mkuu, ulikuwa unaangalia mpira kweli ama ulikuwa unashabikia uafrika? Kwa mtazamo wako unafikiri kuna nchi gani ya Kiafrika ambayo ipo pale Brazil yenye uwezo wa kuchukua kombe la dunia? Jibu ni hakuna.

hapana, nitaweka hapa picha ya penati ambayo SAMARAS aliangushwa ndani ya boksi, lakini akasema hakuguswa kwenye mechi vs COLOMBIA, acha kujifanya hujui.

ongea kitaalamu.
 
2Q==
 
Nadhani utakuwa umesahau au umejisahaulisha ile mechi ya kufuzu kati ya Tz na Ivory Coast, maana ile ilikuwa ya waafrika tupu lakini hukuona wa-Tz tulivyonyanyaswa.

Kazimoto alishasema before match kuwa ivory coast ime rob nafasi ya Tanzania. Mwaka huu wanhekuwa kina Mrisho Ngassa pale.
 
Kweli malipo ni hapahapa duniani....Nilikuwa uwanja wa taifa ile siku Ivory Coast wanacheza na Taifa Stars siku ile yule refa MuArgeria aliipendelea sana Kodivwaa na kuing'ata Stars,leo wamelipwa.Mnakumbuka Mwainyi Kazimoto alisemaje siku chache zilizopita?
 
hapana, nitaweka hapa picha ya penati ambayo SAMARAS aliangushwa ndani ya boksi, lakini akasema hakuguswa kwenye mechi vs COLOMBIA, acha kujifanya hujui.

ongea kitaalamu.

Watu bwana....nyinyi ndiyo mnaoua mpira wetu wa Tanzania yaani mashabiki wa kufuata upepo, mtu unashabikia kitu wala hujuwi unashabikia kwa nini. Kiutaalam ile ni penalty na wala haina ubishi hata wachezaji wenyewe wa Ivory Coast walijuwa hivyo na hawakubisha ila wewe mchezaji wa benchi lisilo tambulika duniani ndiyo unayejua zaidi, si ndiyo? Kama kweli uliangalia ile mechi na si kusimuliwa kwenye daladala si uliona jinsi kina Drogba walivyoshika vichwa baada ya Samaras kukwanguliwa ndani ya 18 au haukuona hii? Watu bwana. Wale walifanya vile kwani walishajuwa nini kitatokea...Kama nilivyosema, Ivory Coast had their chances ila walishindwa kuzitumia, utasema na hii pia walilaliwa na refa? Acha ubishi wa kijinga mkuu. Ule mpira ulikuwa 50/50.
 
Jamani tuacheni unazi ile penalty live jamaa alikua anapiga then yule beki akamuekea kigingi kwa nyuma. Sasa pale hata refa angaekua Collina angeweka tuta.

Ngozi nyeusi tumelaaniwa kwakweli tumeanza kupigana wenyewe kwa wenyewe(Cameroo). Sasa kama leo Yaani sekunde 37 mpira uishe unaenda kufanya tukio kama lile kweli?
Huu unazi ndo unaharibu soka la africa..ukiangalia hizi mechi mbili ivory cost hawajacheza kitimu ..hawapeani pasi..viungo walikuwa wanapoteza mpira maeneo ya hatari mara kibao..tunakuja kulaumu penalt ya wazi kabisa..
 
Watu bwana....nyinyi ndiyo mnaoua mpira wetu wa Tanzania yaani mashabiki wa kufuata upepo, mtu unashabikia kitu wala hujuwi unashabikia kwa nini. Kiutaalam ile ni penalty na wala haina ubishi hata wachezaji wenyewe wa Ivory Coast walijuwa hivyo na hawakubisha ila wewe mchezaji wa benchi lisilo tambulika duniani ndiyo unayejua zaidi, si ndiyo? Kama kweli uliangalia ile mechi na si kusimuliwa kwenye daladala si uliona jinsi kina Drogba walivyoshika vichwa baada ya Samaras kukwanguliwa ndani ya 18 au haukuona hii? Watu bwana. Wale walifanya vile kwani walishajuwa nini kitatokea...Kama nilivyosema, Ivory Coast had their chances ila walishindwa kuzitumia, utasema na hii pia walilaliwa na refa? Acha ubishi wa kijinga mkuu. Ule mpira ulikuwa 50/50.
Soka la africa linakufa kwa ushabiki wetu mkuu..ile pale kwa sheria za soka ni penalt kabisa..ivory cost wajilaumu wenyewe tu kwa kushindwa kucheza kitimu kwenye hizi mechi mbili za mwisho..alafu midfield walikuwa wanapoteza mipira sehemu za hatari sana..alafu waache kuchagua majina..maana sijui kwa nini walimwacha godfrey bony
 
Wewe ndiye unayejuwa ku analyze mpira vizuri. Tanzania tunahitaji wajuaji mpira kuongoza soka letu ila ubabaishaji hautatufikisha popote kwani utabikia ushabiki tu wa kufuata upepo.
 
Sasa unaharibu lugha akuachie tuu?! Si bora amekufahamisha ili usirudie hayo makosa tena?! Au wewe ulitaka uendelee na akili hiyo hiyo tuu?!

Mkuu ukifatilia vizuri comments za huyo mdada, unaweza ukakubaliana na huyo jamaa kuwa kichwa chake kimejaa kimba sijui!
 
Nimefurahi sana walivyotoka. Napenda ghana nao wapigwe,algeria nao wapigwe wasepe kwao.

Na next wc africa ipeleke timu 2 tu.
 
Tukomae hivyo hivyo,mbona Ulaya timu zao za maana zimetoka-Spain.Italy,Russia nk nk....sisi mbili zimesonga si mabya sana.
 
Watu bwana....nyinyi ndiyo mnaoua mpira wetu wa Tanzania yaani mashabiki wa kufuata upepo, mtu unashabikia kitu wala hujuwi unashabikia kwa nini. Kiutaalam ile ni penalty na wala haina ubishi hata wachezaji wenyewe wa Ivory Coast walijuwa hivyo na hawakubisha ila wewe mchezaji wa benchi lisilo tambulika duniani ndiyo unayejua zaidi, si ndiyo? Kama kweli uliangalia ile mechi na si kusimuliwa kwenye daladala si uliona jinsi kina Drogba walivyoshika vichwa baada ya Samaras kukwanguliwa ndani ya 18 au haukuona hii? Watu bwana. Wale walifanya vile kwani walishajuwa nini kitatokea...Kama nilivyosema, Ivory Coast had their chances ila walishindwa kuzitumia, utasema na hii pia walilaliwa na refa? Acha ubishi wa kijinga mkuu. Ule mpira ulikuwa 50/50.

Mjinga nani mkuu?
 
Wewe unajua mpira, hawa ambao wanavamia michezo wakati wa kombe la dunia ndo wanaleta shida, ila hapo umesema hoja ya maana kabisa.

Kwa sababu hata ASIA timu zao zote zimetolewa tayari kwenye raundi yak kwanza tu.
Iran-nje.
Korea-nje.
Japan-nje.
Australia{ilihamia Shirikisho la Asia}-nje.

ZILIZOTOLEWA ZA ULAYA:
1. england-nje.
2.spain-nje.
3.portugal-nje.
4.bosnia-nje.
5.italia-nje.
6.russia-nje.

Tukomae hivyo hivyo,mbona Ulaya timu zao za maana zimetoka-Spain.Italy,Russia nk nk....sisi mbili zimesonga si mabya sana.
 
soka halifi;
sheria gani zinazopindishwa na refa; LAMPARD alipokataliwa goli lake Waingereza walilalamika hadi sasa imewekwa GOAL-LINE TEC.

wewe unaridhika na hoja za mzungu? jitambue wewe..

Soka la africa linakufa kwa ushabiki wetu mkuu..ile pale kwa sheria za soka ni penalt kabisa..ivory cost wajilaumu wenyewe tu kwa kushindwa kucheza kitimu kwenye hizi mechi mbili za mwisho..alafu midfield walikuwa wanapoteza mipira sehemu za hatari sana..alafu waache kuchagua majina..maana sijui kwa nini walimwacha godfrey bony
 
Timu zetu za Afrika zinacheza kama zimetoka shamba, nguvu nyingi akili kidogo, nilishangaa dakika ya tisini golikipa wa Ivory Coast anadaka mpira na kuuanza fasta bila hata mbwembwe za time wasting. Tukiweka hisia za uzalendo pembeni, ile ni penalty halali.

Timu za Afrika bana, yaani kiukweli tatizo sio FIFA bali ni waafrika wenyewe ndio tatizo tunakimbilia kulilia hela badala ya kumaliza mpira asubuhi
 
Soka la africa linakufa kwa ushabiki wetu mkuu..ile pale kwa sheria za soka ni penalt kabisa..ivory cost wajilaumu wenyewe tu kwa kushindwa kucheza kitimu kwenye hizi mechi mbili za mwisho..alafu midfield walikuwa wanapoteza mipira sehemu za hatari sana..alafu waache kuchagua majina..maana sijui kwa nini walimwacha godfrey bony

Drogba hakuwa na sababu ya kuanza ile mechi, alikuwa mzigo wangeanzishwa wale madogo kina Bony
Kalou mchoyo sana alitaka afunge yeye ili apewe sifa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom