Rekodi za timu kutoka Africa kombe la Dunia 2022

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,695
Rekodi za timu kutoka Africa kombe la Dunia 2022 ..

Ni mara ya kwanza team kutoka Africa inapata ushindi dhidi Ya bingwa mtetezi wa kombe la Dunia, Tunisia waki pata ushindi dhidi ya bingwa mtetezi wa 2018 France.

Timu za Africa zina weka Rekodi ya kupata ushindi mara nyingi kwenye hatua ya makundi mshindano ya kombe la Dunia ikiwa zime jikusanyia ushindi mara saba, mara ya mwisho rekodi ilikua nai ushindi mara tatu kwa kombe la Dunia mwaka 2010.

Timu zote kutoka Afrika zime pata ushindi walau Mara moja kwenye mechi 3 za makundi ikiwa ni mara mara kwanza kwenye historia ya mashindano hayo tangu kuanzishwa kwake.

Kwa mara ya kwanza Afrika inapereka timu mbili kwenye hatua ya 16 bora ya kombe la Dunia mara zote kama ikienda hua inaenda moja au hakuna!.

Ni timu moja tu kutoka Afrika ndio imeburuza mkia kwenye kundi lake.

Kwa mara ya kwanza timu kutoka Afrika inaongoza kundi lake kwenye mashindano ya Kombe la Dunia ,Morocco wame ongoza kundi F kwa point saba.

Kwa mara ya Kwanza timu kutoka Africa inamaliza mechi za makundi pasipo kupoteza mechi hata moja ,Morocco kwenye kundi F imeshinda mechi mbili na kutoa sare mechi moja.

Vincent Abubakari anakua mchezaji wa kwanza Kufunga goli na kutolewa nje kwa kadi nyekundu kutoka Africa ,Zidane alifanya hivyo mwaka 2006 dhidi Ya Italy.

Ghana timu kutoka Afrika inakua team ya kwanza kukosa penati mbili kwenye kombe la Dunia dhidi ya timu moja(Uruguay) wamekosa mwaka 2010 South Africa mpigaji akiwa Asamoah Gian pia wamekosa 2022.

Ni mara ya kwanza kwa Timu kutoka Africa zinapat ushindi mara mbili dhidi Ya timu kutoka America mara ya Mwisho mwaka 1990 Cameroon walipo ifunga Colombia ,mwaka huu 2022 Senegal na Cameroon wanapata ushindi dhidi ya Equdor na Brazil .

Mohamed Salisu anakua beki wa kwanza kuifungia goli timu ya taifa ya Ghana kwenye mashindano ya kombe la Dunia ,mara zote magoli ya Ghana hufungwa na viungo na washambuliaji .

Vicent Abubakari anakua mchezaji wa kwanza kwa timu ya taifa kutoka Afrika kufunga na kutoa pasi ya bao akitokea Sabu kwenye mashindano ya kombe la Dunia .

Wewe umeiona record the gani mpaka sasa kutoka Africa ..?
IMG_20221203_152543_206.jpg
 
Vipi kuhusu kuchukua kombe la Dunia au mafanikio ni mechi za awali tu?
 
Pamoja na makosa kadha wa kadha ya mleta uzi lakini kwa kiasi chake timu za Africa zimepambana tofauti na matarajio ya wengi.

Tuziombee Senegal na Morocco zifike mbali zaidi.
 
Back
Top Bottom