Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

To yeye

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
28,214
65,826
Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.

NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
 
Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana moto tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia,usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.

Wewe umeoa /umeolewa yaani single mothers ndoa zimewashinda then mnatoa ushauri
 
Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana moto tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia,usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.

NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Kuna mtu umeshuhudia analiwa mke wake nn.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom