To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 28,214
- 65,826
Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.