Ndoa nyingi siku hizi ni majanga mimi naona serikali ifike sehemu iruhusu ndoa mikataba kuanzia mwaka mmoja ili kuepusha misururu ya kudai talaka mahakamani, maana hali inazidi kuwa mbaya huko mahakamani mafile mengi ni ya talaka na sijui tunaelekea wapi,
Nawashangaa mabinti wanalalamika humu kwamba wanataka ndoa najiuliza hivi ndoa za siku wanazijua kweli na chanzo kikubwa cha kuvunjika ndoa ni wanawake maana wao wakichepuka akili yote inahamia kwa mchepuko tofauti na sisi wanaume hatuisahau njia kuu ingawaje na sisi wanaume tunaendekeza michepuko isiyo ya lazima hadi kupelekea kuvunja ndoa zetu suluhisho la yote ni ndoa ya mkataba ihusike.
sidhani kama kuolewa ni lazima... nas i wanawake ndio sababu.... akili za wanaoingia wengi ni influence za watu... kutaa kuoneka kwenye jamii na yeye kaolewa........kulazimisha ndoa na kutegesha mimba ili uolewe...... mapenzi amna kabisa watu wanaangalia status wakati akili na kiroho pia hawapo tayari
umenigusa bestito
mzuri uamuzi wakoSijaona mke wa kuoa miaka hii wanawake wameharibiwa na thamthilia za kizungu wanaigiza mpaka mapenzi cha muhimu kwa sasa ni kuwa na hata mmoja ndoa baadae sitaki stress
analazimisha ndoa kama MankaM.
analazimisha ndoa kama MankaM.
na we umetegesha mimba au unalazimishwa kuolewa?
mm ni mwanamapinduzi hivyo siwezi fanya hivyo si unajua zile fikra zetu za Beijing
hivi unajua kuwa mm nina cheo gani hapa tz?
Sijaona mke wa kuoa miaka hii wanawake wameharibiwa na thamthilia za kizungu wanaigiza mpaka mapenzi cha muhimu kwa sasa ni kuwa na hata mmoja ndoa baadae sitaki stress
Mkuu MankaM analazimisha ndoa? Analazimishaje? Analipia garama zote na kutoa mahari? Natamani anilazimishe na mimi.
Watu waoga...kama hata Kim kaolewa ...
Kama pesa anayo...
Kama dushelele angepata pindi atakapo...
Jiulize kaolewa kwa nini?