umechana ukweli mpaka roho imeshitukaAwe kwenye ndoa au aiswe kwenye ndoa alichosema ni kweli na kipo katika jamii! Tatizo wanaume/wanawake wapenda michepuko hamtaki kuambiwa ukweli!!Ukae ukijua kama mleta thread alivyosema USHAKULA VINGI VYA AJABU BABA!!Endekeza michepuko kwa gia ya stress za ndoa mwisho wake sio mzuri, utapotea
Sisemi michepuko ni sahihi au ni better ....ninachosema kila mtu ana sababu zake na situation yake...kuwanyooshea kidole wanaochepuka is wrong....kuna mtu unakuta mkewe au mume kamsusa for good...asipo Tafuta faraja kwingine ata ishi vipi? Ndoa nyingi ni image tu but ziko flat...
Awe kwenye ndoa au aiswe kwenye ndoa alichosema ni kweli na kipo katika jamii! Tatizo wanaume/wanawake wapenda michepuko hamtaki kuambiwa ukweli!!Ukae ukijua kama mleta thread alivyosema USHAKULA VINGI VYA AJABU BABA!!Endekeza michepuko kwa gia ya stress za ndoa mwisho wake sio mzuri, utapotea
hahaha, kila mtu na afanye yatakayompa amani ndani ya moyo wake until further notice
Kwa iyo faraja anaipata kwa mchepuko!!Hujui kuwa faraja ya kweli yatoka kwa Mungu pekee?
Its time tuambiane ukweli, hakuna amani katika kufanya maovu!Hiyo amani ni FAKE
Sasa moral police ni yeye?anaewapa mamlaka ya kuwa fundisha watu wazima what to do na maisha yao nani?
Ndio maana kila kukicha maadili yanaporomoka, watu hamtaki kuambiwa ukweli!!
Who are you kujipa mamlaka ya kumwambia mtu ukweli? Na ukweli wako ndo ukweli wa kila mtu?
Freedom of speech baba!!Ili mradi sijavunja sheria yeyote nitakuambia/ntawaambia ukweli! Mmezidi kusupport mambo yasiyofaa katika jamii
Nahisi kama umepanic sana bro, hata kama yaliyomo yamo jitahidi kidooogooo kushusha tempa hiyo
Wewe walokole wangapi mnazini na wachungaji huko makanisani uje utufundishe sisi ukweli? Please get a life....kama unajiamini we msafi keep it to yourself...
damu ya hedhi inakingwa nakichupa?hii kibokoâ¦..
Ninakula wali-maharagwe saivi...khaaaaa!!!
Maambo yasiyofaa kwa mujibu wa nani? Pombe haifai kwa kila mtu?na ambao hawana dini wasinywe pombe sababu walokole hamtaki pombe? Why ulazimishe imani zako kwa Wengine? Boko haram na wewe kuna tofauti?