Ifike mahali huko kusini mkuheshimu sana! Leo wametest mitambo tena

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,904
Bado mpaka leo hii kile kitendawili cha moshi wa Ruangwa hakijateguliwa... Kinachochanganya zaidi ni namna vile ulivyoweza kuvuka zile "circle" tano za ulinzi na kuuza taharuki iliyotikisa sana!

Je hatukujifunza tuu? Au ndio ile kwamba tumeumbiwa kusahau.. Je kabla ya ule moshi huko alikotoka alisema nini na pale alitaka kusema nini?

Mwanetu mwanzo wa wiki alipiga mkwara na kujigamba kwamba hawamezi hata wakimtegea sumu vyumbani na katika tukio moja akasusia jukwaa na kukimbilia kwenye gari na kuhutubia huko!

Kwenye hii dunia hata uko fit kiasi gani.. Usitangaze, usipige mikwara usijisifu hadharani na kujifanya Mungu anakupenda sana kuliko wengine.. Ni mbaya sana hii
Kumbuka ukijua hivi wao wanajua vile ukifanya hivi wao wanafanya vile.. Hata wauaji humuomba Mungu huyohuyo unayejitapa naye! Kumbuka habagui kwakuwa Wote ni wake

Hii dharura ya leo ni warning light.. Kwamba wakikutaka watakupata wakati wowote na popote pale! Sikorski kukwambia makinika! Maana wewe si mtoto mdogo kiumri... Labda kiakili na kimtazamo!!!!

Hii warning light ya leo najua imekushock na kukustua sana...sijui ulipanga kusema nini.. Wakayama kukufunga mdomo kwa nia ya kutosha na sidhani kama utarejea hewani haraka na kwa nguvu ileile... Wamefanikiwa kuzima zile kelele na mahakama za majukwaani!
Japo walitest lakini pia pengine walitaka kubutua kabisa ila wakaona maturubai yatakuwa mengi kwa wakati mmoja!

Si kila mtu ana kifua cha kuvumilia kelele zenye kukera.. Hasa hao wenzetu wa huko kulikowahi kufuka moshi...!!!

Kilichotegemewa kiitwe mafanikio makubwa ya ziara kimetiwa doa kubwa sana! Sasa gumzo sio zile kero tena! Bali ajali na ukubwa wa msafara.. Chama kimepata Kazi mpya ya kulifuta hilo doa!

Ukijua hivi wanajua vile! Kikubwa heshima na staha!
addcd3e65e9f8de062e9edd8ea44e813.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijua hivi wanajua vile! Kikubwa heshima na staha!View attachment 2901235

Sent using Jamii Forums mobile app
Ule Mkataba wa Primua Julius Mubaga
 
Awajibishwe huyu ndugu kwa uharibifu wa magari yote haya ya umma:

IMG_20240211_194954.jpg
 
Back
Top Bottom