Ifike mahala tuseme HAPANA!

Ifike mahala tuseme HAPANA!

BULLDOZZER

Senior Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
103
Reaction score
0
Gazeti la Tanzania Daima liliwahi kuandika "Slaa alishinda kwa 64%".
Baadaye likaandika: Mmiliki wa Dowans ni JK.
Ni gazeti hilohilo pia liliwahi kuandika "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo".
Ni gazeti likaandika baadaye: Tunaomba radhi: Tulisema Uongo.

Gazeti hili linamilikiwa na "CHADEMA". Au waandishi wake wanaandika maelekezo ya Viongozi wa Chadema. Lakini pia inaonekana ni wakereketwa wa chama hicho bila kutumia akili.

Je, Kuna "UCHAKACHUZI" zaidi ya huu????? Tutaendelewa kuchakachuliwa akili zetu mpaka lini???. Ifike mahala tusema HAPANA!

Wadau Mna maoni gani?
 
Buldozer unauliza tunasemaje?tunasema uclisome soma uhuru,mzalendo,mtanzania,rai yatakufurahisha
 
wewe ni wa chama gani? maana kulingana na maoni yako hata wewe una chama chako! Inabidi uelewe kuwa waandishi wa habari ni binadamu kama wewe hivo wana maoni tofauti na unavyofikilia! Ila hapo hapo umesahau kuwa kuna magaeti mengi tu ya CCM ambayo yanaandika positive issues tu kuhusu nchi yetu na kuficha maovu yote ambayo serikali inayafanya.
Kitu cha muhimu hapa si kuanza kuchambua huyu mwandishi ni wagazeti gani bali ni kuangalia maudhui ya mwanandishi na matakwa yake,tena uzuri umetaja mabaya walioandika na wameomba samahani! sasa je unataka wasemeje zaidi ya hapo? Hebu tutajie mazuri ambayo magaeti ya CCM yanaandika ili tuchangie haoja pia!
 
Gazeti la Tanzania Daima liliwahi kuandika "Slaa alishinda kwa 64%".
Baadaye likaandika: Mmiliki wa Dowans ni JK.
Ni gazeti hilohilo pia liliwahi kuandika "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo".
Ni gazeti likaandika baadaye: Tunaomba radhi: Tulisema Uongo.

Gazeti hili linamilikiwa na "CHADEMA". Au waandishi wake wanaandika maelekezo ya Viongozi wa Chadema. Lakini pia inaonekana ni wakereketwa wa chama hicho bila kutumia akili.

Je, Kuna "UCHAKACHUZI" zaidi ya huu????? Tutaendelewa kuchakachuliwa akili zetu mpaka lini???. Ifike mahala tusema HAPANA!

Wadau Mna maoni gani?
Hapo cha mtoto, uchakachuaji umefanywa jana na CC ya sisiem
 
Kama umezoea kubull doze watu safari hii umeshindwa; bado gazeti la Tanzania Daima liko kwenye chati, watanzania si wajinga, magazeti yanayochakachua wanayajua na hivi sasa walio wengi wameyasusia; ndiyo maana akina yahe mnahaha!
 
umenifurahisha!tehe tehe tehe!kuwa kama mbayuwayu

yeye kama ni msomaji wa gazeti ajaribu kucompare anachosoma pia ktk magazeti mengine pia
alinganishe hali halisi na report za vyanzo vingine na vyombo tofauti vya habari kama tv,radio na mitandao then ndo acomment na si kukurupuka tu
 
wenye akili tunaelewa nia ya gazeti. Lengo ni kumminya jk amtaje mmliki wa dowans kama siyo yeye. Walimu na askari wanafahamu hii mbinu. Nachelea kukuelimisha maana sijui IQ yako
 
Chunguza habari kwa kina kabla hujaconclude. Mwandishi anatumia objectivism theory of which hata wewe umeumbiwa hii hali. Hutaki, jaribu kuandika habari zako utajikuta onthe same position.
 
baadaye: Tunaomba radhi: Tulisema Uongo.
BULLDOZZER some times hiyo tunaomba radhi:Tulisema uongo unaiandika huku umeshikiwa mtutu wa bunduki.
Gazeti la Uhuru au TBC aiwezi enda kinyume na CCM
 
baadaye: Tunaomba radhi: Tulisema Uongo.
BULLDOZZER some times hiyo tunaomba radhi:Tulisema uongo unaiandika huku umeshikiwa mtutu wa bunduki.
Gazeti la Uhuru au TBC aiwezi enda kinyume na CCM

hilo nalo neno.
Hawa waandishi wanakumbana na misuko suko sana.
 
Back
Top Bottom