- Thread starter
- #21
Wewe unafikiri mchezo? Sheria ya kupiga mzinzi mawe hadi kufa unafikiri ilianza je?
kwi kwi kwi
Wewe unafikiri mchezo? Sheria ya kupiga mzinzi mawe hadi kufa unafikiri ilianza je?
hahahaha
mweeeee mmmmmnnnh wakati wengine ndo wanakimbilia izo izo alama yaani wanagebua tuuu!!
Wewe ni mke wa mtu?
Yaani wewe ujiulizi kwanini kuna sheria na watu wanaziju na bado zavunjwa>
watu hawaogopi kua ni mke ya mutu wao wanapururua tu!!
Hata wakipigwa stamp mpaka kwenye papuchi, watu watakula tu.
kwahyo we unaunga mkono michepuko
Kwani lazima uchepuke na mke ya mutu?
sina maana iyo
Hahahaha cheka kiweekend basi allah!!
Apana mie sio mke ya mutu ati kuna tatizo hapo?
hahahaha kwikwikwi uuuuwii
Itabidi na me nikuweke alama
Nilijua mke wa mtu nikufyeke....
ndugu au papuch zipigwe mihuli
zitakuwa na mingapi mkuu?
kuna wanaoolewa leo, kesho wanaachwa!
sasa mihuri itakuwa mia mia! lol