Ifike hatua wake za watu wawekewe alama

Ifike hatua wake za watu wawekewe alama

Linyo

Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
83
Reaction score
12
Ndugu wana jamvi inakera sana mitaani wake za watu wanavyokuwa viongozi wa kusaliti ndoa zao ufike mda wawekewe alama ili tuwaepuke
 
mweeeee mmmmmnnnh wakati wengine ndo wanakimbilia izo izo alama yaani wanagebua tuuu!!
 
Ndugu wana jamvi inakera sana mitaani wake za watu wanavyokuwa viongozi wa kusaliti ndoa zao ufike mda wawekewe alama ili tuwaepuke
Alama kama ya 666 kwenye makalio au?

Nadhani hii itakuwa most useful!
 
Au ungeshauri Papuchi ziwekewe password kabisa halafu kabakizwe katundu kadooogo ka kutolea urine!

Then kwenye kutunza password hapo...
 
Haahhahqhqhhhahahah, sasa hizo alama mkuu Linyo si ndo zitaleta matatizo zaidi.
All in all mke wa mtu noma kaka acha kabisa kama unafanya huo mchezo.
 
Last edited by a moderator:
Huoni kwamba wakiwa na alama, inarahisisha kujua huyu ni mke wa Fulani, so unagegeda barabara
 
Au ungeshauri Papuchi ziwekewe password kabisa halafu kabakizwe katundu kadooogo ka kutolea urine!

Then kwenye kutunza password hapo...

ndugu au papuch zipigwe mihuli
 
Ko alama ndo itafanya papuchi iwe sealed?? Hao wanaowagegeda wanatambua vizuri tu kwmb hao ni wake za watu, we wakijileta kwko pasua tu madafu ukijifanya mtakatifu saana wenzio wataendelea kumfaidi mkeo
 
Wewe unafikiri mchezo? Sheria ya kupiga mzinzi mawe hadi kufa unafikiri ilianza je?
 
Ko alama ndo itafanya papuchi iwe sealed?? Hao wanaowagegeda wanatambua vizuri tu kwmb hao ni wake za watu, we wakijileta kwko pasua tu madafu ukijifanya mtakatifu saana wenzio wataendelea kumfaidi mkeo

mmmmmmh hii sasa hatari
 
Back
Top Bottom